Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Singida yawapiga marufuku wageni wa Kenya na Uganda kununulia vitunguu mashambani

DSC04783

Baadhi ya wafanyabiashara wa zao la vitunguu pamoja na vibarua wa soko la vitunguu la Misuna manispaa ya Singida, wakiwa kwenye harakati kuchambua ili waweze kuuza zao hilo ambalo kwa msimu huu, ni chache ikilinganishwa na msimu uliopita.Msimu uliopita gunia moja mwanzoni liliuzwa kwa shilingi kati ya 90 na 85 lenye vitunguu bora, msimu huu kutokana na vitunguu kuwa vichache kutokana na uhaba mkubwa wa mvua,gunia moja limeanza kuuzwa kati ya shilingi 95 na 105,000.(Picha na Nathaniel...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wafanyabiashara wa vitunguu Singida walia na Waganda, Wakenya

Wafanyabiashara wa vitunguu katika Soko la Misuna, Singida wameiomba Serikali kuwasaka na kuwakamata wafanyabiashara kutoka Kenya na Uganda wanaonunua zao hilo moja kwa moja kutoka kwa wakulima kwa madai kuwa wanawanyonya wakulima na kuikosesha halmashauri mapato.

 

9 years ago

Dewji Blog

Zaidi ya Mil 60 zilizotengwa kwa sherehe za miaka 50 ya Mkoa wa Singida kutumia kununulia vifaa tiba

IMG_1422

Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone, akitoa taarifa kwa waandishi wa habari juu ya kubadilisha matumizi ya zaidi ya shilingi 60.6 milioni zilizokuwa zigharamie sherehe ya maadhimisho ya mkoa huu kutimiza miaka 50 toka uanzishwe mwaka 1963, na sasa zitatumika kununulia vifaa tiba na vitendea kazi katika hospitali mpya ya rufaa ya mkoa. IMG_1426 IMG_1439 Meneja wa shirika lisilo la kiserikali la SEMA mkoani hapa, Ivo Manyaku, ameupongeza mkoa wa Singida kwa uamuzi wake wa kutumia shilingi 60.6...

 

5 years ago

BBCSwahili

Manchester City: Uefa yawapiga marufuku mabingwa watetezi wa ligi ya England

Manchester City imepigwa marufuku kushiriki katika ligi ya mabingwa kwa misimu miwili na Uefa

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Marekani yawapiga marufuku wasafiri wa kigeni kutoka Brazil

Brazil hivi karibuni imekuwa ngome mpya ya maambukizi ya virusi vya corona huku watu 300,000 wakitibitishwa kuwa na virusi huvyo.

 

10 years ago

Dewji Blog

TAKUKURU Singida yawapiga msasa waandishi mapambano dhidi ya rushwa

DSC04815

Mkuu wa TAKUKURU mkoa wa Singida, Joshua Msuya,akifungua mafunzo ya ushirikishwaji waandishi wa habari katika mapambano dhidi ya rushwa yaliyohudhuriwa na wanachama wa Singida Press Club mkoa wa Singida.Mafunzo hayo ya siku moja,yalifanyika jana  kwenye ukumbi wa mikutano wa TAKUKURU mjini hapa.Wa kwanza kushoto ni kaimu mkuu wa TAKUKURU mkoa wa Singida,Jaffar Uledi na kulia ni Domina Mukama mratibu wa usimamiaji na utekelezaji wa miradi ya maendeleo (PETS coordinator).

DSC04827

Mwanasheria wa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Saudi Arabia yaweka marufuku ya Hija kwa wageni

Ni idadi ndogo sana ya Waislam wanaoishi katika ufalme huo wataruhusiwa kufanya ibada ya Hajj mwaka huu

 

11 years ago

BBCSwahili

Msako wa wageni Kenya waendelea

Kati ya watu 3000 waliokamatwa katika msako unaoendelea nchini Kenya 69 wamefikishwa mahakamani 450 bado wanachunguzwa.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Vimini’ marufuku Uganda

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, ametia saini sheria mpya inayotoa adhabu kali kwa wanaopatikana na hatia ya kutembea nusu uchi au kuhusika na vitendo vinavyohusisha picha zisizokuwa na maadili kwa jamii.

 

9 years ago

StarTV

Maandamano ya UKAWA Singida yapigwa marufuku

Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano ya kupinga matokeo ya Urais katika uchaguzi mkuu uliofanyika wiki iliyopita yaliyopangwa kufanywa mkoani Singida leo Jumanne na wanachama na wafuasi wa vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA.

Imeelezwa kuwa Maandamano hayo  yanayotarajiwa kuanza saa 4:00 asubuhi na kuishia kwenye Ofisi za wakuu wa Wilaya na mkoa  pia yanalenga kushinikiza kutangzwa kwa Edward Lowasa  wa CHADEMA  kuwa ndiye mshindi wa nafasi wa Urais suala...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani