Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIR GEORGE KAHAMA AMBARIKI MH. MEMBE KUWANIA URAIS WA TANZANIA

 Mwanasiasa mkongwe nchini, Sir. George Kahama akizungumza na wana CCM na wakazi wa Lindi katika Viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa jana, wakati Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (wa tatu kushoto waliokaa), alipotangaza nia ya kugombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu ujao wa Mwezi Oktoba, katika Viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa jana. Wengeni (kutoka kushoto) ni Katibu wa CCM Mkoa wa Lindi,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Membe: Watanzania subirini kwa hamu siku yangu ya kutangaza nia ya kuwania Urais

membe 2

Na theNkoromo Blog

 WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa  Kimataifa, Bernard Membe, amewaomba Watanzania kusubiri kwa hamu siku ya kutangaza nia ya kuwania urais kwa tiketi ya CCM, katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

Membe amesema, amepanga kutangaza nia hiyo,  Juni 6, mwaka huu,  na kuwaomba wananchi wamsikilize kwa makini siku hiyo kwakuwa ataeleza kwa kina nini anataka kufanya nchi iweze kuondoka ilipo ikiwemo kuendelea kudumisha amani na utulivu uliopo.

Waziri Membe ambaye...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mizengo Pinda kuwania Urais Tanzania

Waziri mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda, atangaza kuwania Urais katika mahojiano na BBC

 

5 years ago

BBCSwahili

Lissu atangaza rasmi nia ya kuwania urais Tanzania

Tundu Lissu atangaza rasmi nia ya kuwania urais Tanzania akiwa ughaibuni

 

10 years ago

GPL

BALOZI MAHIGA AJITOSA MBIO KUWANIA URAIS WA TANZANIA

Balozi Dr. Augustine Mahiga (kushoto) akiwa na mkewe, Elizabeth Mahiga (katikati) na kada wa CCM Eng. Lucas B.Chogo. Wanahabari wakifuatilia tukio hilo. ALIYEKUWA  Balozi wa Kudumu wa Umoja wa Mataifa, Dr. Augustine  Mahiga,   amesema anazo sifa zote za kumfanya kuwa rais bora wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Aliyasema hayo hapo jana katika Idara ya Habari (Maelezo) alipokuwa...

 

10 years ago

Michuzi

DKT. BILAL ACHUKUA FOMU ZA KUWANIA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisani moja ya fomu za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakati alipofika Makao Makuu ya CCM mkoani Dodoma leo Juni 4, 2015 kwa ajili ya kuchukua fomu hizo. Kushoto ni Katibu wa NEC Idara ya Oganaizesheni , Seif Khatib.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionyesha mkoba wenye Fomu za kugombea Urais kwa tiketi ya CCM, baada ya kukabidhiwa mkoba huo na...

 

10 years ago

Michuzi

LOWASSA ACHUKUA FOMU YA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUWANIA URAIS WA TANZANIA


Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa na Mgombea Mwenza wake, Dkt. Juma Haji Duni wakiwapingua maelfu ya wafuasi wa vyama vya Siasa vinavyounda UKAWA, jijini Dar es salaam, Augusti 10, 2015, walipokuwa wakielekea Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuchukua Fomu ya kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Octoba 25, mwaka huu.Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

 

10 years ago

Michuzi

Nyalandu achukua fomu ya kuwania urais wa tanzania mjini dodoma leo

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akionyesha mkoba wenye fomu za kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kukabidhiwa katika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. Pembeni ni mkewe Bi. Faraja Nyalandu. Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mara baada ya kuchukua fomu za kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. Pembeni ni mkewe Faraja.Waziri...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani