SIRI MUHIMU KUZIJUA KUHUSU WANAWAKE!

UKWELI ambao haukwepeki kuhusu uhusiano na mapenzi ni uwepo wa furaha, amani na maelewano. Hivi ni vitu muhimu sana. Msingi wa yote ni pendo la dhati. Ikiwa wapendanao wana upendo wa kweli toka mioyoni mwao ni rahisi kutunza vitu hivyo. Hakuna asiyependa kuwa na uhusiano wenye furaha na amani. Uhusiano wenye masikilizano huzaa matunda mema – kama ni marafiki tu, basi ujue ndoa inanukia lakini kama tayari ni wanandoa,...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
SIRI MUHIMU KUZIJUA KUHUSU WANAWAKE!-2
9 years ago
BBCSwahili25 Nov
Maelezo muhimu kuhusu Ukatoliki Afrika
9 years ago
Raia Mwema06 Nov
Ajenda muhimu kuhusu Oktoba 25 - hitimisho
KATIKA mfululizo wa makala hizi ambazo zililenga katika kubadilishana mawazo na wasomaji kwa leng
Mwandishi Wetu
11 years ago
Mwananchi08 Jun
Mambo 20 muhimu kuhusu Kombe la Dunia
9 years ago
Mzalendo Zanzibar22 Oct
Tangazo Muhimu kuhusu upigaji kura
Kuna taarifa kuwa,huenda kukawa na karatasi za kupiga kura feki,sasa sijui hili litasaidia vipi Chama tawala,lakini ni muhimu kukumbushana. Unapoingia kwenye Chumba cha Kura,tafadhali weka kura yako juu kwenye muangaza kuangalia kama kutakua kuna nembo ya […]
The post Tangazo Muhimu kuhusu upigaji kura appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
BBCSwahili18 Dec
Urusi: Habari muhimu kuhusu ndege ziliharibiwa
5 years ago
Bongo514 Feb
Taarifa muhimu kuhusu Hisa za Vodacom Tanzania
Kumekuwa na taarifa za upotoshaji katika mitandao ya kijamii kuhusu thamani halisi ya hisa za Vodacom (VTL). Kwa mfano, ujumbe uliosambazwa tarehe 19 Aprili umedai kuwa bei ya TZS 850 kwa hisa ni mara 3.8 zaidi ya thamani halisi ya hisa hizi. Kufikia hapo, mwandishi alikokotoa thamani ya vitabuni ya rasilimali za kampuni, akatoa dhima (madeni), na kudai kuwa albaki ndiyo thamani halisi ya hisa za wamiliki wote wa kampuni. Njia hii ni potofu, na inaonyesha ni kwa kiwango gani mwandishi...
9 years ago
BBCSwahili19 Oct
Takwimu muhimu kuhusu wapiga kura Tanzania
9 years ago
GPL
FAHAMU MAMBO MUHIMU KUHUSU VVU/ UKIMWI