Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIRI MUHIMU KUZIJUA KUHUSU WANAWAKE!-2

SI siri. Wanawake wana siri nyingi sana mioyoni mwao na kwa kawaida huwa hawawezi kuonesha hisia zao za ndani moja kwa moja. Ni watu ambao mara nyingi hupenda kuwasilisha vilivyomo ndani yao kwa ishara. Kwa mtindo wa maisha ya wanaume wengi wa sasa ni vigumu kusoma ishara hizo na kujua mahitaji ya mwanamke husika. Bahati mbaya ni kwamba, ukienda kinyume na mahitaji yao, utashangaa kila siku mnaingia kwenye mikwaruzano isiyo na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SIRI MUHIMU KUZIJUA KUHUSU WANAWAKE!

UKWELI ambao haukwepeki kuhusu uhusiano na mapenzi ni uwepo wa furaha, amani na maelewano. Hivi ni vitu muhimu sana. Msingi wa yote ni pendo la dhati. Ikiwa wapendanao wana upendo wa kweli toka mioyoni mwao ni rahisi kutunza vitu hivyo. Hakuna asiyependa kuwa na uhusiano wenye furaha na amani. Uhusiano wenye masikilizano huzaa matunda mema – kama ni marafiki tu, basi ujue ndoa inanukia lakini kama tayari ni wanandoa,...

 

9 years ago

BBCSwahili

Maelezo muhimu kuhusu Ukatoliki Afrika

Ingawa idadi ya Wakatoliki inapungua maeneo mengine duniani, Afrika waumini wa kanisa hili wanaongezeka na kufikia sasa kuna waumini 200 milioni wa Kanisa Katoliki.

 

9 years ago

Raia Mwema

Ajenda muhimu kuhusu Oktoba 25 - hitimisho

KATIKA mfululizo wa makala hizi ambazo zililenga katika kubadilishana mawazo na wasomaji kwa leng

Mwandishi Wetu

 

11 years ago

Mwananchi

Mambo 20 muhimu kuhusu Kombe la Dunia

1 — Mechi zote za Kombe la Dunia 1930 nchini Uruguay zilichezwa kwenye jiji moja: Montevideo.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Tangazo Muhimu kuhusu upigaji kura

Kuna taarifa kuwa,huenda kukawa na karatasi za kupiga kura feki,sasa sijui hili litasaidia vipi Chama tawala,lakini ni muhimu kukumbushana. Unapoingia kwenye Chumba cha Kura,tafadhali weka kura yako juu kwenye muangaza kuangalia kama kutakua kuna nembo ya […]

The post Tangazo Muhimu kuhusu upigaji kura appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

BBCSwahili

Urusi: Habari muhimu kuhusu ndege ziliharibiwa

Kifaa maalum cha kunasa sauti kwenye ndege maarufu kama Black Box, cha ndege ya kivita ya Urusi iliyodunguliwa na Uturuki kiliharibiwa, haya ni kwa mujibu wa Urusi.

 

5 years ago

Bongo5

Taarifa muhimu kuhusu Hisa za Vodacom Tanzania

Kumekuwa na taarifa za upotoshaji katika mitandao ya kijamii kuhusu thamani halisi ya hisa za Vodacom (VTL). Kwa mfano, ujumbe uliosambazwa tarehe 19 Aprili umedai kuwa bei ya TZS 850 kwa hisa ni mara 3.8 zaidi ya thamani halisi ya hisa hizi. Kufikia hapo, mwandishi alikokotoa thamani ya vitabuni ya rasilimali za kampuni, akatoa dhima (madeni), na kudai kuwa albaki ndiyo thamani halisi ya hisa za wamiliki wote wa kampuni. Njia hii ni potofu, na inaonyesha ni kwa kiwango gani mwandishi...

 

9 years ago

BBCSwahili

Takwimu muhimu kuhusu wapiga kura Tanzania

Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania imetoa takwimu kuhusu wapiga kura wanaotarajiwa kushiriki uchaguzi mkuu Jumapili Oktoba 25.

 

9 years ago

GPL

FAHAMU MAMBO MUHIMU KUHUSU VVU/ UKIMWI

Wiki hii tunachambua Virusi vya Ukimwi (VVU) na ugonjwa wenyewe, tutaangalia hatua kwa hatua hadi mgonjwa anaonekana kuwa ana Ukosefu wa Kinga Mwilini (Ukimwi). Ili mtu ajulikane kuwa ana VVU /Ukimwi, atapitia hatua nne za lazima kama nitakavyoziainisha.
Hatua ya kwanza hujulikana kitaalam kama Primary HIV Infection ambapo mgonjwa hudumu nayo kwa wiki nne baada ya maambukizi. Watu walio katika maambuki katika hatua hii ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani