Siri ya mafanikio St Francis
Mkuu wa Shule ya Sekondari St Francis ya mkaoni Mbeya iliyoshika nafasi ya kwanza kitaifa katika Matokeo ya Kidato cha Nne yaliyotangazwa jana, Sista Flossy Sequira amesema kuwa alikuwa na uhakika kwamba shule yake ingefanya vizuri kwenye mtihani huo, huku akitaja siri ya mafanikio.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi23 Aug
Tunadanganywa na hadithi za ‘siri ya mafanikio’
11 years ago
Tanzania Daima01 Jan
Diamond aeleza siri ya mafanikio
MKALI wa muziki wa kizazi kipya nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinum’ amesema mafanikio yake yanatokana na kujituma kwa kiwango kikubwa na jinsi anavyojua kuishi vizuri na watu hasa mashabiki wake...
11 years ago
Tanzania Daima28 Apr
Siri ya mafanikio ya Himid Mao hadharani
KARIBU mpendwa msomaji wa gazeti pendwa la Tanzania Daima katika safu mpya ya ‘Jicho Letu Mitandaoni’ itakayokuwa ikikujia kila Jumatatu, ikibeba dhima ya kukupa wewe msomaji machache kati ya mengi...
11 years ago
Mwananchi15 Oct
Makoye aipa Simba siri ya mafanikio
11 years ago
Tanzania Daima10 Jan
Singano ‘Messi’ afichua siri ya mafanikio
KIUNGO nyota wa Wekundu wa Msimbazi, Simba, Ramadhani Singano ‘Messi’ ameitaja siri ya mafanikio yake dimbani kuwa ni kujituma, huku akikabidhi harakati zake mikononi mwa Mwenyezi Mungu, anayemuwezesha kufanya mambo...
10 years ago
Bongo503 Oct
Nahreel aitaja siri ya mafanikio ya Navy Kenzo
10 years ago
Mwananchi15 Jun
Hii ndiyo siri ya mafanikio ya kocha Alex Ferguson
10 years ago
Bongo512 Oct
Kufanya kazi nzuri ndio siri ya mafanikio yetu — Navy Kenzo