Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sitopiga kura, wagombea ni wababaishaji — Witness

Rapper Witness amesema hatopiga kura katika uchaguzi mkuu mwaka huu kutokana na wagombea mbalimbali kushindwa kuzungumzia vitu vya msingi kwenye kampeni zao. Witness aliiambia Bongo5 kuwa haoni thamani ya kura yake tena. “Ni haki ya kila mtanzania lakini kama sioni mabadiliko yoyote nipige kura ya nini? Kwa sababu toka nimezaliwa kuna maisha nayoishi ambayo sipendi […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WAGOMBEA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE WAPIGA KURA ZAO

 Mgombea wa Ubunge Jimbo la Chalinze kupitia tiketi ya CCM, Ndugu Ridhiwani Kikwete akihakiki taarifa zake kabla ya kupiga kura kwenye kituo cha Ofisi ya Mtendaji Kata namba 3 Bwilingu, Chalinze. Aziza ambaye ni mtoto wa mgombea wa Ubunge Jimbo la Chalinze kupitia CCM, Ndugu Ridhiwani Kikwete akimsaidia baba yake kuweka…

 

10 years ago

Vijimambo

MWIGULU NCHEMBA ALIPOPITA HII LEO ITILIMA MKOANI SIMIYU KUWAOMBEA KURA WAGOMBEA WA CCM


Mh:Mwigulu Nchemba akichambua kuhusu swala la Uadilifu wa Viongozi na Watumishi wa serikali,Kuna watumishi wa serikali ambao hawana Vyama au sio wanaCCM lakini Wanaiba Serikalini  na dhambi hiyo inakwenda CCM.Hivyo ni muda muafaka wa Kutenganisha Wezi,mafisadi na CCM.Comrade Mwigulu Nchemba akinadi na kuwaombea kura wagombea wa ngazi zote wa CCM kata ya itilima mkoani Simiyu.Comrade Mwigulu Nchemba akisalimiana na Wananchi wa Itilima hii leo.Mwigulu Nchemba akiwaeleza wanaitilima Mkoani...

 

9 years ago

GPL

MKE WA RAIS WA ZANZIBAR AENDELEA NA ZIARA YAKE KUWAOMBEA KURA WAGOMBEA WA CCM ZANZIBAR

Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akizungumza na Viongozi wa Umoja wa Wanawake Tanzania Wilaya ya Mfenesini Unguja wakati akiwa katika ziara yake kuwatembelea Viongozi wa Wanawake Zanzibar kuwapigia kampeni Wagombea wa CCM kwa Wananchi kupitia Wanawake. Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mama Fatma Karume amewataka Wanawake kujitokeza kwa wingi kukipigia Kura Chama cha Mapinduzi...

 

11 years ago

Mwananchi

Viongozi wababaishaji watakiwa kujipima

Viongozi wanaojiona wameshindwa kuleta maendeleo katika maeneo yao wametakiwa kujipima kama wanafaa kuendelea kuongoza na wakijiona hawafanyi lolote waachie ngazi mapema ama wasgombee tena uongozi kwa kuwa wanarudisha nyuma maendeleo ya wananchi.

 

9 years ago

Mwananchi

Mbunge akerwa makandarasi wababaishaji

Mbunge wa Korogwe Mjini, Mary Chatanda ameishauri Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga kuachana na makandarasi wababaishaji wanaokwamisha miradi kwa kukosa fedha za kujiendesha wenyewe.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tanesco kuwabana wawekezaji wababaishaji

WIZARA ya Nishati na Madini imesema itahakikisha haitoi mwanya kwa wawezezaji wababaishaji wanaotaka kuwekeza kwenye nishati ya umeme na kuwaingiza Watanzania kwenye mgawo wa umeme bila sababu. Katibu Mkuu wa...

 

10 years ago

Habarileo

Agizo la JK mwiba kwa watendaji wababaishaji

MEYA wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa amesema manispaa hiyo ipo tayari kuwapoteza watendaji wababaishaji kuliko kupatwa aibu kwa kushindwa kukamilisha agizo la ujenzi wa maabara lililotolewa na Rais Jakaya Kikwete.

 

9 years ago

Vijimambo

MKE WA RAIS WA ZANZIBAR MAMA MWANAMWEMA SHEIN, AENDELEA NA ZIARA YAKE KUWAOMBEA KURA WAGOMBEA WA CCM ZANZIBAR.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akiwasili katika ukumbi wa Chuo cha Kumbukumbu cha Mwalimu Nyerere Bububu kwa ajili ya kuzungumza na Viongozi wa Wanawake wa Wilaya ya Mfenesini Unguja Kichama kuwaombea Kura Wagombea Wote wa Chama cha Mapinduzi CCM.Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Wilaya ya Mfenesini Unguja Kichama akitowa salamu za Wilaya yake kwa Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, kabla ya kuaza kwa mkutano huo uliofanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere Bububu.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mchakato wa kuomba kura za maoni katika jimbo la Singida mjini likiendelea katika kata mbalimbali kwa wagombea kujinadi

HASAN

Mmoja wa wagombea ubunge jimbo la Singida Mjini, Hasan Mazala akiomba kura kata ya kajengo jana.

MAZALA

Mazala akiomba kura.

AMANI

Amani Rai mmoja wa wagombea Jimbo la Singida mjini akimwaga serra zake kata ya majengo.

LEAH

Mpiga picha na mwandishi wa habari Leah Samike nae amejitosa kuwania Ubunge Singida mjini.

META

Mmoja wa wananchi wa Majengo, Hamson Mrecha akiuliza swali mgombea.

YAGI

Yage Kiaratu mmoja wa wagombea nafasi ya Udiwani Kata ya Majengo akiomba kura.

WAJUMBE

Baadhi ya wajumbe wakiwa kwenye mkutano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani