Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Agizo la JK mwiba kwa watendaji wababaishaji

MEYA wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa amesema manispaa hiyo ipo tayari kuwapoteza watendaji wababaishaji kuliko kupatwa aibu kwa kushindwa kukamilisha agizo la ujenzi wa maabara lililotolewa na Rais Jakaya Kikwete.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAZIRI JAFO AAGIZA WATENDAJI WOTE WABABAISHAJI TARURA WACHUKULIWE HATUA

Charles James, Michuzi TV

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais-Tamisemi, Selemani Jafo amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Mjini na Vijijini (Tarura), Victor Seff kuwachukulia hatua watendaji wote wababaishaji kwenye ngazi ya Mikoa na Halmashauri.

Jafo amesema kuna watumishi katika ngazi za Mikoa ambao wamekua wakikwamisha spidi ya wakala huo katika kuwaletea maendeleo watanzania.

Waziri Jafo ametoa agizo hilo leo jijini Dodoma wakati wakati akiizindua rasmi Bodi  ya Ushauri ya Tarura ambayo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kwa nini Lowassa amekuwa mwiba kwa CCM?

YAMEANDIKWA na yanaendelea kuandikwa mengi kuhusu Edward Lowassa kuanza kampeni za kugombea urais mwaka 2015. Yasemekana ‘amewaweka sawa’ wenyeviti na wajumbe wengi wa Kamati Kuu ya CCM ili wamuunge mkono...

 

10 years ago

Habarileo

Katiba ‘mwiba’ kwa wapinzani

Naibu Katibu Mkuu wa CCM -Zanzibar, Vuai Ali VuaiSIKU moja baada ya Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo kuonya juu ya waraka wa maaskofu wa kutaka wananchi waikatae Katiba Inayopendekezwa, wanaoisakama Katiba hiyo wamezidi kubanwa na kuonekana wasioitakia mema Tanzania.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ujerumani mwiba kwa wanariadha

Kwa mara ya kwanza Ujerumani imeamua kuweka sheria kali kwa wafukuza upepo kama kosa la jinai

 

11 years ago

Mwananchi

Mwiba ulinikwama kooni kwa udokozi

Naitwa Abel Hafify nina umri wa miaka kumi na moja, nasoma darasa la saba katika Shule ya Msingi ya Magomeni, Dar es Salaam.

 

9 years ago

BBCSwahili

Deni la Ugiriki,mwiba kwa Angela Merkel

Bunge la Ujerumani limeanza kujadili kuhusu maamuzi ya mwisho ya kulipwa kwa deni la Ugiriki .

 

11 years ago

Michuzi

Punguzo la bei ya umeme mwiba kwa washindani-IPTL

Hofu ya kupoteza soko kwa makampuni ya kigeni yanayozalisha umeme dhidi ya makampuni ya kitanzania imetajwa kuwa chanzo cha vita dhidi ya kampuni ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL).
Chanzo cha uhakika kutoka Wizara ya Nishati na Madini kimetoa taarifa hiyo kwa gazeti hili jana kuwa kwa zaidi ya muongo mmoja, kampuni za kigeni zimekuwa zikipata faida kubwa kwa kuzalisha umeme na kuuza kwa bei ya juu nchini.
Kampuni ya IPTL ambayo inamilikiwa na kampuni ya...

 

5 years ago

Michuzi

MATIBABU YA TUNDU LISU NCHINI UBELGIJI YALIVYOGEUKA 'MWIBA' KWA MBUNGE CHADEMA

*Ni Athony Komu ambaye sasa anaitwa msaliti, muongo
*Atoboa siri ya kamati ya watu sita iliyohusika kwa Lisu

Na Said Mwishehe, Michuzi Globu ya jamii

MBUNGE wa Jimbo la Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro Anthony Komu(Chadema) amekiri amewahi kuwa na tofauti na viongozi wa ngazi za juu wa Chama hicho na aliamini hayo ni mambo ya kawaida kwa taasisi kubwa na inayokuwa.

Kwa bahati mbaya kuwa na mtazamo tofauti na wenzie kwa kiwango kikubwa umechukuliwa kuwa uasi ndani ya chama jambo linalosababisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani