Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SMZ yakanusha kifo cha waziri

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi na Utumishi wa Umma, Haroun Ali Suleiman amezushiwa kifo. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imekanusha uvumi huo, uliozagaa juzi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

CHADEMA YAKANUSHA KUHUSIKA NA KIFO CHA MWANGOSI

Mkurugenzi  wa Habari na Mawasiliano wa Chadema,John Mnyika, akizungumza na waandishi wa habari. Baadhi ya viongozi wa Chadema kutoka kushoto ni Ofisa Habari, Tumaini Makene, Mbunge wa Ubungo Mh. John Mnyika, Ofisa Mwandamizi Mafunzo na Uendeshaji, Mohamed Mtoi, na mwenye gwanda ni Katibu Mtendaji, Ofisi ya Katibu Mkuu, Victor Kimesera.…
...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU ATIA SANI KITABU CHA MAOMBOLEZO KIFO CHA NKURUNZIZA



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini katika kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Burundi, Pierre  Nkurunziza kwenye Ubalozi wa Burundi, Upanga jijini Dar es salaam, Juni 17, 2020. Wa pili kulia ni Balozi wa Burundi nchini, Mhe. Abayeho Gervais.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akitoa heshima baada ya kutia saini kitabu cha...

 

9 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZOKUFUATIA KIFO CHA WAZIRI CELINA KOMBANI MIKOCHENI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Mohammed Gharib Bilal,  akisaini kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo kufuatia kifo cha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mhe. Celina Kombani kilichotoke Nchini India juzi, wakati Makamu wa Rais alipokwenda nyumbani kwa marehemu Mikocheni.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Mohammed Gharib Bilal,  akifariji watoto wa Familia ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa...

 

11 years ago

GPL

KIFO CHA WAZIRI MGIMWA, KWA NINI...

Na Mwandishi Wetu
WAKATI taifa likiwa katika msiba kufuatia kifo cha Waziri wa Fedha, Mipango na Uchumi, Dk. William Mgimwa, wananchi wameitaka serikali kueleza kwa nini kwa kipindi chote cha kuumwa kwake, ugonjwa uliomuua ulifanywa siri. Marehemu Dk. William Mgimwa. Waziri Mgimwa alifariki dunia Jumatano (juzi) saa 5:20 asubuhi kwa saa za Afrika Kusini (Tanzania saa 6:20) katika Hospitali ya Mediclinic Klooff jijini...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kifo cha DC: Rais Kikwete amtumia salamu Waziri Mkuu

IMG_3959

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Waziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo Peter Pinda kuomboleza kifo cha Mkuu wa Wilaya ya Kalambo, Mkoa wa Rukwa, Ndugu Moshi Chang’a(pichani).

“Ni kifo cha kusikitisha kwa sababu kimepunguza safu ya uongozi wetu na kimelinyang’anya taifa letu mhamasishaji hodari na mtetezi wa kuaminika wa maendeleo ya wananchi,” Rais Kikwete amesema katika salamu hizo.

Amesema Rais Kikwete katika salamu zake za...

 

5 years ago

BBCSwahili

Kifo cha George Floyd : Maandamano yatanda huku afisa akikamatwa kwa kifo cha raia mweusi wa Marekani

Afisa akamatwa kwa mauaji ya Mmarekani mweusi aliyekuwa amekamatwa na polisi

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AOMBOLEZA KIFO CHA WAZIRI CELINE OMPESHI KOMBANI


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za Rambirambi Waziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo Peter Kayanza Pinda, kufuatia kifo cha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mheshimiwa Celine Ompeshi Kombani.

“Pokea rambirambi zangu za dhati, sote kwa pamoja tumepoteza mama mchapakazi, hodari na aliyependa kushirikiana na wenzake katika kazi zake, hakika tutamkumbuka siku zote” Rais Amesema.

Rais Pia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani