Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Snura: Muziki ukinishinda nakuwa msusi

snuraNA THERESIA GASPER,

MSANII wa kizazi kipya, Snura Mushi, ameweka wazi kwamba kama kazi za sanaa anazofanya hazitomwendea vema atarudi katika kazi yake ya ususi.

Snura alisema kazi hiyo anaimudu na kama hasingekuwa msanii angeitumikia hadi leo kwa kuwa haikuwahi kumwangusha kiuchumi.

“Nilikuwa msusi mzuri kiasi kwamba sikukosa wateja lakini kutokana na majukumu kunizidi katika sanaa ya muziki na maigizo nimeamua kuikacha kwa sasa lakini ipo siku nitairudia,” alisema.

Snura kwa sasa anatamba...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WASTARA: NIKIKUMBATIWA NAKUWA HOI

Na Gladness Mallya
MSANII wa filamu, Wastara Juma amefunguka kuwa starehe yake kubwa duniani ni kukumbatiwa na anapofanyiwa kitendo hicho na mtu wa jinsia yoyote huwa hoi. Wastara Juma. Akistorisha na paparazi wetu, Wastara alisema: “Mimi napenda sana kukumbatiwa au kukumbatia, awe ni mwanaume au mwanamke, ndugu yangu au hata kama siyo ndugu yangu, tukikumbatiana tu najisikia raha sana. “Unajua kila mtu anakuwa na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Westgate:Msusi aliyenusurika anavyojikimu

Huku Kenya ikiadhimisha mwaka mmoja tangu shambulizi la kigaidi la Westgate jijini Nairobi. Je maisha ya waathiriwa yakoje

 

10 years ago

GPL

MSUSI WA SALUNI AFIA GESTI!

Stori: Mwandishi Wetu, Tabora Kifo hakina huruma! Msusi wa saluni ya wanawake iitwayo HK iliyopo mjini hapa, aliyetambuliwa kwa jina moja la Ramadhan almaarufu Rama anadaiwa kufia katika nyumba ya kulala wageni (gesti) na kuibua utata mkubwa, kwani alikwenda kulala akiwa fiti kabisa hivyo polisi kupewa kazi ya kuchunguza kubaini kilichomuua. Mwili wa Ramadhan ukipakizwa kwenye gari la polisi. Kwa mujibu wa mashuhuda wetu, tukio...

 

10 years ago

CloudsFM

MSUSI WA SALOON AFIA GESTI

Askari polisi pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali ya mtaa kata ya Gongoni manispaa ya Tabora akiangalia mwili wa mwanaume mmoja ambaye ni msusi katika moja ya Saloon za wanawake manispaa ya Tabora inayofahamika kama HK.Mwanaume huyo ambaye amefahamika kwa jina la Ramadhani amekutwa amefariki dunia akiwa chumbani kwake katika nyumba ya kulala wageni inayofahamika kwa jina la SALAMA GUEST ambapo ilidaiwa kuwa alikuwa ameishi katika nyumba hiyo kwa muda wa siku tatu na hatimaye kufikwa na...

 

10 years ago

GPL

MSUSI ALIYEJISHINDIA SHILINGI MILIONI 10/= AKABIDHIWA KITITA CHAKE

Milionea kupitia Promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,Ibrahim Ibrahim (kushoto) akimkabidhi hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 10/- Zuwena Rajabu(kulia)aliyeibuka mshindi wa kitita hicho kupitia Promosheni hiyo wiki hii.Anayeshuhudia katikati ni Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu.Hafla hiyo ilifanyika Tabata Segerea  jijini Dar es Salaam,Ili  mteja kujua kama  ameshinda...

 

10 years ago

Michuzi

MSUSI ALIYEJISHINDIA SHILINGI MILIONI 10/- ZA VODACOM AKABIDHIWA KITITA CHAKE

Milionea kupitia Promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,Ibrahim Ibrahim (kushoto) akimkabidhi hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 10/- Zuwena Rajabu(kulia)aliyeibuka mshindi wa kitita hicho kupitia Promosheni hiyo wiki hii.Anayeshuhudia katikati ni Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu.Hafla hiyo ilifanyika Tabata Segerea jijini Dar es Salaam,Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno JAY au AUTO kwenda namba 15544.Milionea kupitia Promosheni ya...

 

5 years ago

BBCSwahili

Asha Bakari: Msusi asiyekuwa uwezo wa kuona anavyojikimu kimaisha Uganda

Kama wasemavyo ulemavu sio kutojiweza na pia kuna walio na ulemavu ambao wanaweza kuchangia pakubwa katika kuboresha maisha ya wenzao.

 

10 years ago

Michuzi

MSUSI WA HK SALOON AFIA GUEST HOUSE,KIFO CHAKE CHAGUBIKWA NA UTATA

Askari polisi pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali ya mtaa kata ya Gongoni manispaa ya Tabora akiangalia mwili wa mwanaume mmoja ambaye ni Msusi katika moja ya Saloon za wanawake hapa manispa ya Tabora inayofahamika kama HK,Mwanaume huyo ambaye amefahamika kwa jina la Ramadhani amekutwa amefariki dunia akiwa chumbani kwake katika nyumba ya kulala wageni inayofahamika kwa jina la SALAMA GUEST ambapo ilidaiwa kuwa alikuwa ameishi katika nyumba hiyo kwa muda wa siku tatu na hatimaye kufikwa...

 

9 years ago

Bongo5

Beka Ibrozama: Muziki wa biashara usitufanye tuutupe muziki wa asili ya Tanzania

beka

Muimbaji aliyewahi kutamba na wimbo wake ‘Natumaini’, Beka Ibrozama ameonya kuwa kama wasanii watajisahau na kufanya zaidi ule wanaouita muziki wa biashara wenye kukopa vionjo vya nje, muziki wenye asili ya Tanzania utapotea.

beka

Akiongea kwenye kipindi cha Chill na Sky hivi karibuni, Beka alisema pamoja na kufanya nyimbo za kisasa, bado amekuwa akitumia muziki wenye asili ya Tanzania kumpa inspiration.

“Nasikiliza tu jinsi muziki unavyoelekea, naona ni muziki ambako upo wa kukopi sana, watu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani