Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASTARA: NIKIKUMBATIWA NAKUWA HOI

Na Gladness Mallya
MSANII wa filamu, Wastara Juma amefunguka kuwa starehe yake kubwa duniani ni kukumbatiwa na anapofanyiwa kitendo hicho na mtu wa jinsia yoyote huwa hoi. Wastara Juma. Akistorisha na paparazi wetu, Wastara alisema: “Mimi napenda sana kukumbatiwa au kukumbatia, awe ni mwanaume au mwanamke, ndugu yangu au hata kama siyo ndugu yangu, tukikumbatiana tu najisikia raha sana. “Unajua kila mtu anakuwa na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

IMAMU HOI PENZI LA WASTARA

Deogratius Mongela na Chande Abdallah KATIKA hali ya kushangaza, Imam wa msikiti mmoja uliopo Kibamba, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam aliyefahamika kwa jina moja la Ustadh Anuary, yupo hoi kwa kuhitaji penzi la muigizaji nyota, Wastara Juma, Risasi Mchanganyiko linakujuza. ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1IGvVbv

 

10 years ago

Mtanzania

Snura: Muziki ukinishinda nakuwa msusi

snuraNA THERESIA GASPER,

MSANII wa kizazi kipya, Snura Mushi, ameweka wazi kwamba kama kazi za sanaa anazofanya hazitomwendea vema atarudi katika kazi yake ya ususi.

Snura alisema kazi hiyo anaimudu na kama hasingekuwa msanii angeitumikia hadi leo kwa kuwa haikuwahi kumwangusha kiuchumi.

“Nilikuwa msusi mzuri kiasi kwamba sikukosa wateja lakini kutokana na majukumu kunizidi katika sanaa ya muziki na maigizo nimeamua kuikacha kwa sasa lakini ipo siku nitairudia,” alisema.

Snura kwa sasa anatamba...

 

9 years ago

Bongo5

New Music: Layla (The Voice Fairy) — Hoi Hoi

12237221_1669908713222926_427056748_n

Wimbo wa msanii anayechipukia, Layla A. Walden aka The Voice Fairy uitwao ‘Hoi Hoi.’ Umetayarishwa kwenye studio za AM Records.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

11 years ago

BBCSwahili

Ni shangwe na hoi hoi Ujerumani

Maelfu ya mashabiki wa soka nchini Ujerumani wamekusanyika tangu asubuhi mjini Berlin kuwakaribisha wachezaji wa timu ya taifa ya soka ambayo ilishinda kombe la dunia Brazil.

 

10 years ago

Tanzania Daima

CCM hoi

SIKU chache baada ya Bunge Maalum la Katiba kupitisha katiba inayopendekezwa, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinahaha kutafuta uungwaji mkono Zanzibar, Tanzania Daima Jumapili limedokezwa CCM kinatafuta uungwaji mkono visiwani humo...

 

5 years ago

Michuzi

CHADEMA HOI IFAKARA


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally, leo ameanza Ziara ya siku tatu Mkoani Morogoro ambapo katika mkutano wa ndani, madiwani watatu wakiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Ifakara wamejivua uwanachama wa Chadema na kujiunga na CCM.

Madiwani hao ni Mashaka Benard Mwenyekiti wa Halmashauri, Chiza Shungu diwani Kata ya Mbasa na Digna Nyangile diwani viti maalum Ifakara.

Viongozi hao wamejiunga na CCM leo tarehe 13 Februari, 2020 katika mkutano wa Katibu Mkuu na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Joyce Banda hoi

SIKU moja baada ya matokeo ya awali ya uchaguzi mkuu nchini  Malawi kutangazwa na kuonyesha kuwa mgombea wa chama kikuu cha upinzani Democratic Progressive Party (DPP), Profesa Peter Mutharika, anaongoza...

 

9 years ago

GPL

MISS TANZANIA HOI MAREKANI

Imelda Mtema Maskini! Miss Tanzania namba 2, 2005/06, Natalia Noel ambaye kwa hivi sasa anaishi katika Jimbo la Minnesota nchini Marekani, yupo taabani baada ya kusumbuliwa kwa muda mrefu na ugonjwa wa mfumo wa damu (Lupus Nephritis) na kusababisha figo zake zote kushindwa kufanya kazi pamoja na moyo wake kuwa mkubwa hivyo kulala kitandani tu, wakati mwingine akisaidiwa na mashine ya kupumulia. Akiwa hospitali. Akizungumza kwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Uholanzi hoi Kombe la Ulaya

Kitimtim cha kutafuta tiketi ya michuano ya soka barani Ulaya mwaka 2016 iliendelea tena jana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani