Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM hoi

SIKU chache baada ya Bunge Maalum la Katiba kupitisha katiba inayopendekezwa, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinahaha kutafuta uungwaji mkono Zanzibar, Tanzania Daima Jumapili limedokezwa CCM kinatafuta uungwaji mkono visiwani humo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Ushindani:CCM iko hai au hoi?

Chama Cha Mapinduzi kinaendelea kujitathmini kwa kuwatembelea wananchi na wanachama wake kuangalia uhai wa chama na kukagua utekelezaji wa Ilani yake ya 2010-2015

 

9 years ago

Bongo5

New Music: Layla (The Voice Fairy) — Hoi Hoi

12237221_1669908713222926_427056748_n

Wimbo wa msanii anayechipukia, Layla A. Walden aka The Voice Fairy uitwao ‘Hoi Hoi.’ Umetayarishwa kwenye studio za AM Records.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

11 years ago

BBCSwahili

Ni shangwe na hoi hoi Ujerumani

Maelfu ya mashabiki wa soka nchini Ujerumani wamekusanyika tangu asubuhi mjini Berlin kuwakaribisha wachezaji wa timu ya taifa ya soka ambayo ilishinda kombe la dunia Brazil.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Joyce Banda hoi

SIKU moja baada ya matokeo ya awali ya uchaguzi mkuu nchini  Malawi kutangazwa na kuonyesha kuwa mgombea wa chama kikuu cha upinzani Democratic Progressive Party (DPP), Profesa Peter Mutharika, anaongoza...

 

5 years ago

Michuzi

CHADEMA HOI IFAKARA


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally, leo ameanza Ziara ya siku tatu Mkoani Morogoro ambapo katika mkutano wa ndani, madiwani watatu wakiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Ifakara wamejivua uwanachama wa Chadema na kujiunga na CCM.

Madiwani hao ni Mashaka Benard Mwenyekiti wa Halmashauri, Chiza Shungu diwani Kata ya Mbasa na Digna Nyangile diwani viti maalum Ifakara.

Viongozi hao wamejiunga na CCM leo tarehe 13 Februari, 2020 katika mkutano wa Katibu Mkuu na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Klabu za England hoi kimataifa

Jana usiku viwanja kadhaa viliwaka moto, katika michuano ya ligi ya Europa wakati timu kadhaa ziliposhuka dimbani katika hatua ya 16 bora.

 

10 years ago

BBCSwahili

Man City hoi Capital One

Mechi za kombe la ligi ya CAPITALA ONE CUP zimeendelea usiku wa kuamkia leo huku viwanja kadhaa vikiwa matatani.

 

11 years ago

GPL

ARSENAL HOI KWA BAYERN

Wojciech Szczesny akijaribu kumzuia Arjen Robben bila mafanikio. Kipa wa Arsenal, Wojciech Szczesny…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani