Soka la Bongo lawakataa Wakenya
Wakati pazia la usajili Tanzania likitarajiwa kufunguliwa Novemba 15, wachezaji kutoka Uganda na Burundi wamekuwa lulu kulinganisha na wale wa kutoka Kenya.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili27 Nov
Duka lawakataa wateja wa kichina
11 years ago
GPL24 Dec
10 years ago
Bongo Movies07 Dec
Alichokisema JB kuhusu soka la bongo. Asikitishwa na uchovu wa wachezaji.
Kupitia mtandao mmoja wa kijamii nchini, mwigizaji nguli Jacob Steven – JB ameamua kufunguka haya yake ya moyoni kuhusu mpira wa kibongobongo
“Wapenda kandanda kama mimi hembu tujadili kidogo nyinyi mnaonaje? hivi mbona mimi sielewi? ni kweli hata mimi nafurahia ujio wa wachezaji wa kigeni kwamba wataleta changamoto lakini hawa wa kwetu wamekumbwa na nini? mbona mchezaji anacheza msimu mmoja tu kwisha? leo hii angalia timu ya taifa ukiacha kina Samatta hatuna mshambuliaji, hamuoni wivu...
10 years ago
Bongo Movies23 Jun
Maneno Haya ya JB Kuhusu ‘Soka la Bongo’ Yaungwa Mkono na Wengi
Kutoka mitandaoni, JB amendika haya kuhusiana na timu yetu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’
Timu nzuri ya Taifa inaanzia kwenye vilabu...ili upate wachezaji wazuri ni lazima uwekeze.mpira ni kama shule unaanzia cheke chea.Watoto hawa wakati wako huko camp wanafundishwa mpira na shule pia wanaenda.viwanja na waalimu.uwekezaji huu ni rahisi kufanywa na mtu binafsi kama Azam kulikotimu zinazomilikiwa na wanachama....Naamini wawekezaji wanamna hii wakiongezeka na kupata sapoti kutoka kwa...
5 years ago
MillardAyo10 Mar
PICHA 10: Mastaa wa soka Bongo Niyonzima, Kaseja, Okwi, Manula na Himid wakiwa na wake zao
10 years ago
VijimamboMAMBO YA SOKA LA BONGO HAYO YANI KI DIGITAL ZAIDI PITIA HII NA MEZA AU TEMA KWAHERI.
10 years ago
Bongo509 Jul
Kikwete: Wasanii wa Bongo Fleva wanatuliwaza kwa kuitangaza Tanzania pale tunapofanya madudu kwenye soka