SOKO LA MABIBO CORONA BASI, LANUFAIKA, KUTENGEENEZEWA VIZIMBA VYA KUNAWIA MIKONO KWA KILA MTUMIAJI.
![](https://1.bp.blogspot.com/-nPGFP5uaTS4/XsUfptrrxlI/AAAAAAALq8k/PtLuwj4DKrwaEoy5xpqm3CEUBmsLxQ-_wCLcBGAsYHQ/s72-c/GGG.jpg)
Taasisi isiyo ya kiserekali ya Vijana Think Tank (VTT) @vijanathinktank ambayo inajumuisha vijana zaidi ya 250, ambayo ilianza kama jukwaa kupitia group la WhatsApp, siku ya leo wamekabidhi vizimba vitatu vya maji kwa mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo baada ya kuchangishana pesa kupitia kundi hilo la WhatsApp na kuamua kupamabana na janga la Corona kwa kuelekeza nguvu zao kwenye masoko mkoani Dar Es Salaam.
Akiongea mwakilishi wa taasisi ya Vijana Think Tank (VTT) @vijanathinktank Bi....
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-7MJ9syTnl30/XrAzZmQridI/AAAAAAALpGY/SZpfm-apwTYVYURBtD4tcyn-KQMZgmLBQCLcBGAsYHQ/s72-c/c17bab71-258b-440c-acdc-4a1bdc09f0df.jpg)
BUWASA WAJENGA VIZIMBA VYA KUNAWIA MIKONO TAHADHARI YA CORONA.
![](https://1.bp.blogspot.com/-7MJ9syTnl30/XrAzZmQridI/AAAAAAALpGY/SZpfm-apwTYVYURBtD4tcyn-KQMZgmLBQCLcBGAsYHQ/s640/c17bab71-258b-440c-acdc-4a1bdc09f0df.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-_0hNoL8KVxI/XrAzYbN9zFI/AAAAAAALpGM/OqnrhzeHArMqLQx6ql9R7KXAc6alTNrbgCLcBGAsYHQ/s640/27dc27be-3165-4d9d-8c88-9b11038f4b2f.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-FjtkhHiPaQM/XrAzYSWmH6I/AAAAAAALpGE/Qkx6gBp2Rcc5vDW1NI-guKlCsI3XNFELACLcBGAsYHQ/s640/34ebc759-af07-4cb1-81e8-d68c37a7d465.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-RQmWt8rLPzI/XsasHD1haiI/AAAAAAALrLM/5Tv07fMyv-orWYdMFsnVtFiGhzDPM3wXgCLcBGAsYHQ/s72-c/ff94edf3-5a52-4be9-a330-c66e59faba35.jpg)
BUWASA WAKABIDHI VIZIMBA VYA KUNAWIA MIKONO HOSPTALI YA RUFAA BUKOBA.
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Bukoba (BUWASA), Wameendelea kurudisha fadhila kwa wateja wao na jamii kwa ujumla kwa kujenga Vizimba Vingine viwili vya kunawia mikono, ikiwa ni tahadhari ya kujikinga gonjwa la corona,na hivyo kufanya Idadi ya vizimba hivyo kufikia vitano vilivyojengwa ndani ya Manispaa ya Bukoba.
Akisoma Taarifa ya utelekezaji wa miradi hiyo, Mkurugenzi wa BUWASA Ndg. John Sirati amesema kuwa Mamlaka katika kuhakikisha jamii...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-MKAB4A1zsIU/XuPm9hg5fxI/AAAAAAABMV0/RvznYIhH92MV1xGVqpyhXuiyT84XexGRACLcBGAsYHQ/s72-c/CSR%2BSingida%2B%25281%2529.png)
NMB YAKABIDHI MSAADA WA VIFAA VYA KUNAWIA MIKONO KUJIKINGA NA CORONA MKOANI SINGIDA
![](https://1.bp.blogspot.com/-MKAB4A1zsIU/XuPm9hg5fxI/AAAAAAABMV0/RvznYIhH92MV1xGVqpyhXuiyT84XexGRACLcBGAsYHQ/s400/CSR%2BSingida%2B%25281%2529.png)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-QltHpcOjYwI/XoH2qUkgE1I/AAAAAAALllA/5q3xg4GDbog7jiegIqDlcUVO5z9-ea0ewCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
Waziri wa Viwanda na Biashara ampongeza mjasiriamali mtanzania aliyebuni kifaa maalumu cha kunawia mikono ili kujikinga na virusi vya Corona
![](https://1.bp.blogspot.com/-QltHpcOjYwI/XoH2qUkgE1I/AAAAAAALllA/5q3xg4GDbog7jiegIqDlcUVO5z9-ea0ewCLcBGAsYHQ/s640/1.jpg)
Akizungumza leo Waziri Bashungwa amempongeza Jonas Urio kwa ubunifu wake huo wa kutengeza kifaa kizuri na bora cha kunawia mikono ambacho kinaweza kutumiwa na taasisi mbalimbali za serikali na binafsi kuhudumia watu mbalimbali kusafisha mikono yao ili kuendeleza...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-FxdO6C5ulDU/Xq3D5P5RaGI/AAAAAAALo3M/HHSTCyApVLsLemCofA_Va9zJT3Sixm3FgCLcBGAsYHQ/s72-c/kk.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-RWunr7ekgNo/Xq2o2pptWKI/AAAAAAALo3A/rpUP7PcMhi0myD8RMshzDsuo58duRjXzQCLcBGAsYHQ/s72-c/2-1AAA-768x512.jpg)
MANYANYA ATANGAZA MSAKO KWA WAFANYABISHARA WANAOUZA BEI KUBWA NDOO ZA KUNAWIA MIKONO
![](https://1.bp.blogspot.com/-RWunr7ekgNo/Xq2o2pptWKI/AAAAAAALo3A/rpUP7PcMhi0myD8RMshzDsuo58duRjXzQCLcBGAsYHQ/s640/2-1AAA-768x512.jpg)
………………………………………………………………………..
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Stella Manyanya ameelekeza Viwanda ya plastiki nchini kuzalisha ndoo kwa wingi na ametoa onyo kali kwa...
5 years ago
BBCSwahili10 May
Virusi vya corona : Je walimwengu watawahi kusalimiana kwa mikono tena?
5 years ago
MichuziWAZIRI UMMY MWALIMU AMKABIDHI RC MAKONDA VIFAA VYA KUNAWA MIKONO KWA AJILI YA KUWAKINGA WANANCHI NA CORONA.
5 years ago
BBCSwahili22 Apr
Virusi vya corona: 'Kila anayekufa sio mgonjwa wa corona' asema Magufuli