Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sola kuwa suluhu ya nishati Afrika

Takriban watu nusu bilioni barani Afrika wasio na umeme kufaidika na mitambo mikubwa ya nishati inayojengwa Morocco na Kenya.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TANZANIA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO WA NISHATI KWA NCHI ZA AFRIKA

 Waziri wa Nishati  na Madini Profesa Sospeter Muhongo akiongea wakati wa mkutano wa Mawaziri wanaohusika na  masuala ya   Nishati ambapo aliwatangazia wajumbe hao kwamba Tanzania itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa  Bara la Afrika  kuhusu  Nishati Endelevu katika muda utaopangwa na Umoja wa Mataifa.  Ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa siku tatu wa Nishati Endelevu kwa Wote ( SE4ALL)  ulioandaliwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa.  Eng. Yahya  Samamba Katibu wa Waziri na  Eng. Styden...

 

10 years ago

Vijimambo

Samia Suluhu achaguliwa kuwa mgombea mwenza

Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwatambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM john Pombe Magufuli na mgombea mwenza Samia Suluhu Hassan mara baada ya mkutano Mkuu wa CCM kuwachagua kupeperusha bendera ya CCM katika uchaguzi wa Urais utakaofanyika Oktoba,2015 (picha na Freddy Maro).

 

10 years ago

Vijimambo

MH. MAGUFULI AMTANGAZA SAMIA SULUHU HASSAN KUWA MGOMBEA MWENZA WAKE

        Mh. Samia Suluhu Hassan 


Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, Mh John Pombe Magufuli amemtangaza mgombea mwenza wake kuwa ni Mh. Samia Suluhu Hassan. 

Mh Magufuli amemtangaza Mh Samia wakati alipokuwa akikishukuru chama chake kwa kumteua kuipeperusha bendera ya chama hicho katika uchaguzi mkuu ujao baadaye mwaka huu. 
Baada ya kumtangaza Mh Samia kuwa mgombea mwenza wake, ukumbi mzima ulilipuka kwa shangwe na vigelele. 
Hii ni mara ya kwanza tangu uhuru kwa Tanzania kuwa...

 

10 years ago

Michuzi

Makamu Mwenyekiti wa UVCCM achaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Afrika Kanda ya Afrika Mashariki

 Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM),Mboni Mhita (katikati) akizungumza na waandishi (hawapo pichani) pamoja na baadhi ya vijana wa Mkoa wa Dar es salaam leo,juu ushindi wake alioupata katika Uchaguzi wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana Barani Afrika,ambapo yeye amechaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Umoja huo kwa upande wa Afrika Mashariki.Uchaguzi huo ulifanyika Mwishoni mwa mwezi uliopita katika Jiji la Johannesburg,nchini Afrika Kusini.Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa...

 

9 years ago

Michuzi

WIZARA YA NISHATI NA MADINI YAKANUSHA TAARIFA ZINAZOENEZWA KUWA NI ZAUONGO

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA


WIZARA YA NISHATI NA MADINI

TAARIFA KWA UMMA

Hivi karibuni zimeibuka taarifa zinazosambazwa katika mitandao ya kijamii zikimnukuu Waziri wa Nishati na Madini, George B. Simbachawene  akisema kuwa mitambo yote ya uzalishaji umeme nchini inamilikiwa na Kampuni binafsi.


Tunapenda kuutaarifu Umma kuwa taarifa hizi ni za uongo kwani Waziri Simbachawene hajawahi kutoa tamko la kuwa mitambo ya kuzalisha Umeme yote nchini ni ya kampuni binafsi bali alichosema ni  kuwa,...

 

10 years ago

Michuzi

UTAFITI WA KUIWEZESHA ZNZ KUWA NA VYANZO VYA NISHATI WAFANYWA

Na Rahma Khamis – Maelezo Zanzibar. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inaendelea na azma yake ya kukamilisha Mradi wa Utafiti wa Nishati mbadala ili kujuwa uwezekano wa Zanzibar kupata Umeme wake wa uhakika.
Hayo yameelezwa na Waziri wa Ardhi,Makazi,Maji na Nishati Ramadhan Abdalla  Shaaban katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi  Chukwani  wakati akitoa Hutuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2015 /2016.
Amesema Wizara yake imekamilisha kazi ya kupatikana  kwa Mkandarasi...

 

10 years ago

Michuzi

Watumishi wapya Nishati na Madini waaswa kuwa wabunifu, waadilifu

Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Mrimia Mchomvu (aliyesimama), akisisitiza jambo kwa Wafanyakazi wapya wa Wizara hiyo (hawapo pichani), wakati wa ufunguzi wa Mafunzo Elekezi uliofanyika Jumatatu - Machi 23, 2015, katika Ukumbi wa Elimu ya Watu Wazima – Dar es Salaam. Mkurugenzi Mchomvu alifungua rasmi mafunzo hayo kwa niaba ya Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara husika, Mhandisi Ngosi Mwihava.
Mmojawapo wa Washiriki wa Mafunzo Elekezi kutoka Wizara ya Nishati na...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI KUWA MGENI RASMI SIKU YA WANATAALUMA UJERUMANI

Waziri wa Nishati na Madini  Profesa Sospeter Muhongo atakuwa mgeni rasmi katika siku ya wanataaluma itakayofanyika Aprili 26, mwaka huu katika mji wa Berlin, Ujerumani ambapo atazungumzia fursa za uwekezaji Tanzania hususan katika sekta ya mafuta na gesi. 
Profesa Muhongo atatoa mada hiyo ya fursa za uwekezaji nchini ikiwa ni moja ya shughuli zilizopangwa kufanyika katika siku mbili za kongamano la uwekezaji litakalofanyika katika mji wa Berlin, nchini humo mnamo tarehe 25 na 26 Aprili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani