Sold Out: Diamond Platnumz apafunga Dar Live (Picha)
Ilikuwa ni siku ya Christmas, ni Diamond Platnumz stejini na Dar Live ndiyo uwanja wa show, unategemea nini?
Ni sold out, ukinyanyua mguu mmoja huwezi kuurudisha tena, nyomi la kufa mtu.
Well, hitmaker huyo wa Utanipenda, jana amedhihirisha kuwa ni nyumbani ndiko anakopendwa zaidi kwa kuufunga uwanja wa Dar Live uliopo Mbagala.
Ilikuwa ni show ya mtu mmoja iliyovuta maelfu ya mashabiki wa muziki kumshuhudia akiimba wimbo wake mpya Utanipenda na hits zake zingine. Hizi ni picha za show...
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL26 Dec
10 years ago
GPLDIAMOND PLATNUMZ, IDRIS SULTAN NDANI YA DAR LIVE
10 years ago
GPL25 Dec
DIAMOND PLATNUMZ, MZEE YUSUF: TUTAFANYA MAAJABU DAR LIVE
10 years ago
GPL27 Dec
9 years ago
Global Publishers23 Dec
10 years ago
Vijimambo04 Dec
DIAMOND UHURU SHOW - SOLD OUT...SOLD OUT...SOLD OUT "TICKET KWISHNEEY -KWA WALE WALIO RESERVE TICKET TAFADHALI TUNAOMBA PIGA SIMU LEO UCHUKUE @ 301-661-6207


$100 (INCLUSIVE)3 COURSE DINNERBOTTLE OF CHAMPAGNE PER TABLELIVE ENTERTAINMENTCELEB AFRICA TV RED CARPET COVERAGERE KNOWN PROFESSIONAL PHOTOGRAPHER FREE PARKINGCASH BARFOR INFOS CALL 301-661-6207 * DMK 301-661-6696 * DJ LUKE ...
10 years ago
GPL28 Dec
9 years ago
MillardAyo26 Dec
Ni headlines za Diamond Platnumz Dec 25 kwenye show ya Funga Mwaka Dar Live…..(+Picha)
Christmas ya mwaka 2015 itabakia kuwa na historia kubwa kwenye dunia ya burudani, 88.5 usiku wa Dec 25 wamepokea shangwe za burudani kutoka kwa Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz kwenye viwanja vya Dar Live, Mbagala Dar es Salaam. Hapa nimekusogezea picha 20 uone jinsi kilivyohappen Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na […]
The post Ni headlines za Diamond Platnumz Dec 25 kwenye show ya Funga Mwaka Dar Live…..(+Picha) appeared first on...
10 years ago
GPLDIAMOND PLATNUMZ, MZEE YUSUF WAAHIDI KUANGUSHA SHOO YA KUFA MTU DAR LIVE SIKUKUU YA X-MAS