SOMO SAHIHI LA KUPUNGUZA MAWAZO NA KUONGEZA FURAHA!-2
![](http://api.ning.com:80/files/XewtWaR3V6Zxy8SC-941v-5LHM31uaAJMPVCG5PIFpOTMtREEbeAGSlpbuvjsByN5PJFHlgOjGJKdbVUMbfwvde6bJ3erDKF/mahaba.jpg?width=650)
MUELEZE HUJISIKII VIZURI Ikibidi sema unaumwa. Mpenzi bora atapunguza maswali au baadhi ya vitu na kukuacha upumzike. Hiyo itakusaidia kuingiza hewa kichwani ambayo itakuongezea nafasi na mwisho kichwa kitakuwa chepesi. Maneno ya hapa na pale ukiwa na msongo wa vitu kichwani, utaona kama ni vuvuzela zinapulizwa masikioni. Unapomuomba mwenzio akupe nafasi ya kupumzika kwa sababu hujisikii vizuri, itakusaidia kupunguza uzito wa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi08 Feb
Bupropion dawa ya kupunguza msongo wa mawazo
9 years ago
Mwananchi13 Sep
SAIKOLOJIA : Je, unajua namna ya kujenga mawazo sahihi kuhusu watu wengine walivyo?
11 years ago
Dewji Blog10 Apr
Taarifa na Lugha sahihi: Dhana ya kupunguza madhara ya maafa
Meneja wa kituo cha Kahama FM Redio, Marco Mipawa, akiwakaribisha washiriki na kufungua warsha ya mafunzo ya siku nne ya waandishi wa habari na watangazaji wa Redio Jamii kuhusu kuandika taarifa za Maafa na Misaada ya Kibinadamu yanayofanyika mjini Kahama. Kushoto ni Mkufunzi wa Redio Jamii kutoka UNESCO Mama Rose Haji Mwalimu na kulia ni Hellen Msemo kutoka Mamamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA).
Na Mwandishi Wetu
Ukosefu wa taarifa na lugha sahihi halikadhalika kukosa uelewa katika jamii...
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/04/DSC_0070.jpg)
TAARIFA NA LUGHA SAHIHI: DHANA YA KUPUNGUZA MADHARA YA MAAFA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Q7T2q86GkzVMgKPH5KfW2qNtgOPmGX90YsRKuio1Q7BYKMdgdXbNgAOAfZSOhOVYfFRWz8ziav6Rb8oVEof19TnECdhnjScB/1a1.jpg?width=650)
RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO MKAKATI WA KUONGEZA KASI YA KUPUNGUZA VIFO VYA UZAZI, WATOTO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Vlz-VcMBEuln4wao8Lt6Rqw7xaoOouCYOrN9WQanO0QpYvPe6NLF6z1MjRIQKpaSYkVXnCKs7zE0buEjRedwnEFsYBS3wtzB/sheriayaTakwimu1.jpg?width=650)
SHERIA MPYA YA TAKWIMU KUONGEZA UFANISI WA SHUGHULI ZA KITAFITI NA UPATIKANAJI WA TAKWIMU SAHIHI NCHINI
11 years ago
Dewji Blog15 May
Rais Kikwete azindua mpango mkakati wa kuongeza kasi ya kupunguza Vifo vya Uzazi na vya Watoto leo
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akionesha jedwali la alama za ufuatiliaji wa utendaji wa huduma za afya ya mzazi na mtoto wakati wa uzinduzi wa Mpango Mkakati wa Kuongeza kasi ya kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi na vifo vya watoto katika ukumbi wa mikutani wa kimataifa wa Mwalimu Julis Nyerere jijini Dar es salaam leo. Pamoja naye ni Naibu Waziri wa Afya Dkt Kebwe Sthephen Kebwe.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi kitabu Bibi Halima Shariff, mmoja wa wadau wa afya kutoka...
5 years ago
MichuziKUTEKELEZA SERA YA FEDHA YA KUONGEZA UKWASI KATIKA UCHUMI KUMESAIDIA KUPUNGUZA VIWANGO VYA RIBA MASOKO YA FEDHA-WAZIRI WA FEDHA DK.MPANGO
Na Said Mwisehe,Michuzi TV.
SERIKALI kupitia Benki Kuu (BoT) imeendelea kutekeleza sera ya fedha ya kuongeza ukwasi kwenye uchumi ambayo imesaidia kupunguza viwango vya riba katika masoko ya fedha hususan riba za mikopo na amana.
Akizungumza leo Juni 11 mwaka 2020 Bungeni Mjini Dodoma Waziri wa Fedha na Mipango, Dk.Philip Mpango amesema wastani wa riba za mikopo ya benki kwa ujumla katika kipindi cha Julai mwaka 2019 hadi Aprili mwaka 2020 ulipungua hadi asilimia 16.85 ikilinganishwa na...
11 years ago
Tanzania Daima29 Jun
Kupunguza uchumi wa taslimu uwe mkakati wa kupunguza ujambazi
MATUKIO ya majambazi kuwavamia watu na kuwakuta na fedha nyingi ni mengi. Juzi sista wa Kanisa Katoliki Parokia ya Makoka – Dar es Salaam, alivamiwa na kupigwa risasi na majambazi,...