Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Taarifa na Lugha sahihi: Dhana ya kupunguza madhara ya maafa

DSC_0070

Meneja wa kituo cha Kahama FM Redio, Marco Mipawa, akiwakaribisha washiriki na kufungua warsha ya mafunzo ya siku nne ya waandishi wa habari na watangazaji wa Redio Jamii kuhusu kuandika taarifa za Maafa na Misaada ya Kibinadamu yanayofanyika mjini Kahama. Kushoto ni Mkufunzi wa Redio Jamii kutoka UNESCO Mama Rose Haji Mwalimu na kulia ni Hellen Msemo kutoka Mamamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA).

Na Mwandishi Wetu

Ukosefu wa taarifa na lugha sahihi halikadhalika kukosa uelewa katika jamii...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

TAARIFA NA LUGHA SAHIHI: DHANA YA KUPUNGUZA MADHARA YA MAAFA‏

Meneja wa kituo cha Kahama FM Redio, Marco Mipawa, akiwakaribisha washiriki na kufungua warsha ya mafunzo ya siku nne ya waandishi wa habari na watangazaji wa Redio Jamii kuhusu kuandika taarifa za Maafa na Misaada ya Kibinadamu yanayofanyika mjini Kahama. Kushoto ni Mkufunzi wa Redio Jamii kutoka UNESCO Mama Rose Haji Mwalimu na kulia ni Hellen Msemo kutoka Mamamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA).… ...

 

9 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: TAARIFA SAHIHI YA TAARIFA YA MABUNDA YA NOTI KWENYE NDOO INAYOZAGAA MITANDANO HII HAPA....

Habari zilizosambaa mitandaoni kuhusiana na mabunda ya noti za dola ya Kimarekani kuwa zimekutwa nyumbani kwa mmoja wa watuhumiwa wa mtandao wa wizi bandarini na TRA sio za kweli, Globu ya Jamii inaweza kuthibitisha.Ukweli ni kwamba mabunda hayo ya noti yalikamatwa huko jijini York, Portland, Marekani Mwezi Septemba mwaka 2010, na sio hapa Dar es salaam, Tanzania kama ambavyo wadau wengi wa mitandao hasa ya Whatsapp na Instagram wanavyovumisha.Tumelazimika kutoa habari hii ili kuokoa wadau...

 

11 years ago

GPL

SOMO SAHIHI LA KUPUNGUZA MAWAZO NA KUONGEZA FURAHA!-2

MUELEZE HUJISIKII VIZURI
Ikibidi sema unaumwa. Mpenzi bora atapunguza maswali au baadhi ya vitu na kukuacha upumzike. Hiyo itakusaidia kuingiza hewa kichwani ambayo itakuongezea nafasi na mwisho kichwa kitakuwa chepesi. Maneno ya hapa na pale ukiwa na msongo wa vitu kichwani, utaona kama ni vuvuzela zinapulizwa masikioni. Unapomuomba mwenzio akupe nafasi ya kupumzika kwa sababu hujisikii vizuri, itakusaidia kupunguza uzito wa...

 

10 years ago

Michuzi

Wataalam Ngazi ya Kata kutumika kupunguza Athari za Maafa ya Ukame

Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu, Idara ya Uratibu wa Maafa imesema itawatumia Wataalam waliopo katika Ngazi ya Kata katika Mradi wa kuzijengea uwezo jamii wa kuzuia, kupunguza na kukabiliana na maafa yanayotokana na ukame. Kauli mbiu ya Mradi huo ni “Athari za Ukame Zinapunguzika, Jamii ikielimishwa.”
Akiongea wakati wa Mafunzo juu ya Utekelezaji wa Mradi huo kwa Wataalam wa Sekta ya Kilimo, Mifugo, Afya, Elimu na Utawala wa kata ya Hedaru, Makanya na Vunta, Wilayani Same,...

 

10 years ago

Michuzi

Wananchi waishukuru serikali kuwajengea uwezo wa kupunguza athari za maafa ya ukame

Na. Mwandishi Maalum
Wananchi wa Wilayani  Same katika  kata ya Hedaru, Makanya na Vunta wameishukuru serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu, Idara ya uratibu maafa, kwa kuwajengea uwezo wa kuzuia, kupunguza na kukabiliana na maafa yanayotokana na ukame ambao umekuwa ukizisumbua kata hizo Kutokana na mabadiliko ya Tabia Nchi.
Idara ya uratibu maafa Ofisi ya Waziri Mkuu kupitia Mradi wa kujengea jamii uwezo wa kukabili maafa ya ukame imefanikiwa kujenga uwezo huo kupitia vikundi vya maendeleo...

 

10 years ago

Michuzi

OFISI YA WAZIRI MKUU YAENDELEA KUTOA MAFUNZO YA KUPUNGUZA ATHARI ZA MAAFA YA UKAME KATIKA NGAZI YA KATA, WILAYANI SAME

Mtakwimu, Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika Bw. Vilerian Kidole akifafanua juu ya Umuhimu wa Tathmini ya Hali ya Chakula na Lishe Nchini kwa Wataalam kutoka kata za Hedaru, Makanya na Vunta wakati wa mafunzo yanayoendelea Hedaru, Wilayani Same juu ya jinsi ya kutekeleza Mradi Wa Kuijengea Jamii Uwezo wa kupunguza Athari Za Maafa katika kata zao. Mkuu wa Huduma za Hali ya Hewa kwa Jamii, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania Bi. Hellen Msemo akisisitiza juu ya Umuhimu wa Kutumia...

 

10 years ago

Michuzi

OFISI YA WAZIRI MKUU YAANZA KUTOA MAFUNZO YA KUPUNGUZA ATHARI ZA MAAFA YA UKAME KATIKA NGAZI YA KATA, WILAYANI SAME

Mkuu wa Wilaya ya Same Bw. Herman Kapufi akisisitiza jambo juu ya Mafunzo ya Mradi wa kuijengea Jamii Uwezo Wa Kupunguza Athari Za Maafa katika Wilaya yake wakati timu ya Wataalam Kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania na Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika walipo mtembelea Ofsini kwake kabla ya kuanza mafunzo hayo leo, Hedaru Wilayani Same. Mratibu kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu wa Mradi Wa Kuijengea Jamii Uwezo wa kupunguza Athari Za Maafa kwa Mikoa iliyoathirika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani