Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Southampton kumaliza juu ya Arsenal

Meneja wa kilabu ya Southampton Ronald Koeman anaamini kuwa kikosi chake kinaweza kumaliza msimu huu wa ligi kikiwa juu ya Arsenal

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Arsenal yapigwa 4-0 na Southampton

2F9FFFBA00000578-0-image-a-170_1451162623784

Kiungo wa Southampton Steven Davis (kulia)akiwania mpira na kiungo mkabaji wa Arsenal Mathieu Flamini kwenye mtanange huo.2FA00EB000000578-0-image-a-142_1451162408480Cuco wa Southampton akishangilia goli la kwanza dhidi ya Arsenal.2FA00D0B00000578-0-image-a-152_1451162463489Wachezaji wa Arseal wakiwa hawaamini kinachoendelea.2FA01CD600000578-0-image-a-191_1451164309742 2FA02D9D00000578-0-image-a-204_1451165645707 2FA020C100000578-0-image-a-180_1451163938970

Mshambuliaji wa Southampton Shane Long akipachika kimiani goli la pili.

2FA038DA00000578-3374939-image-m-10_1451166803425….Akishangilia 2FA0003600000578-0-image-a-167_1451162575281

Theo Walcott(kushoto) akikabiliana na mchezaji wa Southampton

 

9 years ago

MillardAyo

Arsenal yakubali kipigo cha nne msimu huu dhidi ya Southampton,kutana na video ya magoli na pichaz …

Baada ya michezo tisa ya Ligi Kuu Uingereza kupigwa Jumamosi ya December 26 siku ya Boxing Day, ulibakia mchezo mmoja ambao ulikuwa unachezwa usiku wa December 26. Mchezo ambao ulikuwa unachezwa usiku wa December 26 ni mechi kati ya Southampton dhidi ya Arsenal katika dimba la St Mary’s lenye uwezo wa kubeba zaidi ya mashabiki […]

The post Arsenal yakubali kipigo cha nne msimu huu dhidi ya Southampton,kutana na video ya magoli na pichaz … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi ya Corona: Arsenal yaanza mazoezi binafsi huku mipango ya kumaliza msimu ikipamba moto

Mipango ya kuanza tena kwa ligi ya Primia itaimarishwa wiki hii

 

10 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YA RUFANI YAKUTANA NA WADAU WAKE KUTOA MAONI JUU YA KUMALIZA MASHAURI KWA WAKATI

 Baadhi ya Wadau wa Mahakama kutoka Magereza,Ofisi ya DPP, Polisi  wakiwa katika Mkutano wa Majaji wa Mahakama ya Rufani unaolenga katika kupata maoni ya wadau juu ya njia zitakazowezesha kusaidia kumaliza mashauri/rufani zinazoletwa Mahakama ya Rufani kwa wakati.Baadhi ya Wahe. Majaji, Maafisa wa Mahakama pamoja na Wadau wa Mahakama wakiwa katika Mkutano katika majadiliano juu ya Maboresho ya umalizaji wa Mahakama katika ngazi ya Mahakama ya Rufani (T) Kwa muda mrefu Mahakama ya Tanzania...

 

5 years ago

BBCSwahili

Jack Ma: Bilionea anayejaribu kumaliza virusi vya corona na kurejesha hadhi ya China kuwa juu

Jinsi umaarufu wa Jack Ma unavyokuwa wakati huu wa mlipuko wa virusi vya corona, unaweza kumuweka hatarini kutokana na macho ya wivu ya viongozi wa China.

 

11 years ago

BBCSwahili

Arsenal warejea juu ya Ligi

Klabu ya Arsenal imerejea juu katika jedwali la ligi kuu ya Premier baada ya ushindi wao wa mabao 2-0 dhidi ya Crystal Palace

 

11 years ago

Mwananchi

Arsenal, Man Utd, City, Chelsea presha juu

England Wakati ratiba ya hatua ya mtoano wa Ligi ya Mabingwa inapangwa leo klabu nne za England, Chelsea, Manchester City, Arsenal na Manchester United zimekuwa kwenye presha kubwa kujua wapinzani wao.

 

10 years ago

BBCSwahili

Liverpool 2-1 Southampton

Mashabiki wa Liverpool watarajia kuendelea kwa msururu wa matokeo mema hata bila ya Suarez

 

9 years ago

BBC

Liverpool 1-1 Southampton

Senegal's Sadio Mane hits a late equaliser for Southampton to deny Jurgen Klopp his first victory as Liverpool manager.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani