Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Stamico hands over projects to schools

The State Mining Corporation (Stamico), through its subsidiary, Stamigold, has handed over education projects worth Sh40 million to the education sector particularly areas near mines .

TheCitizen

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

STAMICO yaipongeza SUMA JKT

Na Mwandishi Wetu
SHIRIKA la Uzalishaji Mali  la Jeshi la Kujenga Taifa,  SUMA JKT, limepongezwa kwa juhudi zake katika kuhakikisha ulinzi unaimarika katika maeneo ya mgodi wa STAMIGOLD uliopo Biharamulo Kagera.
Mgodi huo kwa sasa umekabidhiwa kwa serikali ambapo unaendeshwa chini ya shirika la madini la STAMICO.
Pongezi hizo zilitolewa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi  wa STAMICO,  Rumisha Kimambo katika kikao kilichojumuisha Bodi yake na uongozi wa mgodi wa huo kilichofanyika...

 

11 years ago

Habarileo

Stamico yatwaa mgodi wa Kiwira

HATIMAYE mgodi wa Makaa Mawe wa Kiwira uliopo wilayani Ileje, umerudishwa rasmi serikalini kutoka Tan Power Resources (TPR) na kukabidhiwa kwa Shirika la Madini la Taifa (Stamico), kwa ajili ya kufufua na kuendeleza mgodi huo.

 

10 years ago

TheCitizen

Stamico to take charge of four mining firms

>The government has decided to take over four private mining firms and place them under the charge of the State Mining Corporation Stamico).

 

11 years ago

Habarileo

Msemaji Stamico aibiwa gari

MSEMAJI Mkuu wa Shirika la Madini la Taifa (Stamico), Leornad Mwakalebela ameibiwa gari lake aina ya Spacio huko nyumbani kwake maeneo ya Tabata Kwa Baharia.

 

10 years ago

TheCitizen

As StaMiCo takes over four mining entities

After a series of unquestionably negative reports regarding the mining sector in Tanzania over the last 15 years or so, two somewhat positive developments were reported by two Dar-based newspapers on their front page - and on the same date: Sept. 1 this year!

 

11 years ago

Habarileo

Stamico yatoa milioni 800/- Buhemba

SERIKALI kupitia Shirika la Madini la Taifa (Stamico) limetoa takribani Sh milioni 800 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa, nyumba ya mwalimu na kituo cha afya katika eneo la mgodi wa Buhemba ulioko Musoma, mkoani Mara.

 

10 years ago

Dewji Blog

Edwin Ngonyani Mkurugenzi Mtendaji mpya wa STAMICO

Mkurugenzi2

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Mhandisi Edwin Amandus Ngonyani kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (Stamico). Uteuzi huo umeanza Jumapili iliyopita, Juni 28, 2015.

Taarifa ya kuthibitisha uteuzi huo iliyotolewa Ikulu, Dar es salaam na Katibu Mkuu Kiongozi (KMK) leo, Jumanne, Juni 30, 2015, inasema kuwa kabla ya uteuzi  wake Mhandisi Ngonyani alikuwa Mkaguzi Mkuu wa Migodi na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Stamico.

Mhandisi...

 

5 years ago

Michuzi

Wafanyakazi STAMICO wapata mafunzo dhidi ya Corona

 Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limeungana na taasisi nyingine za umma na binafsi nchini katika kuwaasa wafanyakazi wake kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababishwa na virusi vya Corona (COVID -19).
Katika kufanikisha hilo, uongozi wa STAMICO uliandaa mafunzo ya siku moja yaliyofanyika kwenye viunga vya wazi vya ofisi hiyo  kwa ajili ya wafanyakazi wake waliopo Dar es Salaam ambapo, pamoja na mambo mengine, walihimizwa kujilinda na maambukizi ya ugonjwa wa COVID...

 

10 years ago

Michuzi

STAMICO KUANZISHA MTANDAO WA KUWASAIDIA WACHIMBAJI WADOGO

 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Taifa la Madini (Stamico), Zena Kangoi akizungumza na waandishi wahabari juu mafanikio ya stamico yaliyofanywa katika katika Ofisi Makao Makuu jijini Dar es Salaam. Meneja Mkuuwa Stamigold, Mhandisi Dennis Sibugwao akizungumza na waandishi wahabari juu Stamico inavyosimamia mgodiwa STAMIGOLD, katika mkutano uliofanyika Makao Makuu ya Stamico,jijini Dar es Salaam. Kaimu Mkurugenzi wa Fedha wa Stamico, Rehema MwakajubeBeatrice akizungumza na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani