Star Media yaajiri mamia ya wazawa
KAMPUNI ya Star Media Tanzania imesema itaendelea kuwa mstari wa mbele kuhakikisha inatoa fursa za ajira mbalimbali nchini, ambapo tangu kuanzishwa kwake 2010 tayari ina wafanyakazi 300 kipaumbele kikiwa kwa wazawa.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi06 Feb
10 years ago
Tanzania Daima06 Nov
Star media yazindua madishi
KAMPUNI ya Star Media Tanzania ambao ni wasamabazaji wa ving’amuzi vya dijitali vya Star Times imezindua madishi ya DTH, ili kuboresha upatikanaji wa huduma zake. Madishi ya DTH yatawasaidia watu...
10 years ago
Tanzania Daima09 Oct
Star Media yafungua duka Samora
KATIKA kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja duniani kampuni ya Star Media inayosambaza ving’amuzi vya Star Times imezindua duka jipya Mtaa wa Samora jijini Dar es Salaam. Akizungumza na Waandishi...
11 years ago
Tanzania Daima06 Jan
TCAA yaajiri wakaguzi wa marubani
KATIKA kukabiliana na uhaba wa wakaguzi wa marubani wa ndege, Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) imeajiri wataalamu watatu wa kada hiyo kwa mwaka 2013. Akizungumza na Tanzania Daima juzi,...
11 years ago
Tanzania Daima25 Jun
Kampuni yaajiri vijana Mtwara
KAMPUNI ya Supply Base Solutions Ltd (SBS) inayokusanya taka za baharini zinazosababishwa na uchimbaji wa gesi na mafuta mkoani Mtwara, imetoa kipaumbele cha ajira kwa wakazi waishio jirani na kampuni...
9 years ago
Habarileo30 Oct
Serikali yaajiri 588 kukabili ujangili
WIZARA ya Maliasili na Utalii imetoa ajira mpya kwa watumishi wapya wapatao 588 ikiwa idadi kubwa miongoni mwao ni watumishi wa kada ya Ofisa Wanyamapori na Wahifadhi Wanyamapori, lengo likiwa ni kukabiliana na mashambulio mengi kutoka kwa majangili.
9 years ago
BBCSwahili30 Sep
H&M yaajiri mwanamitindo wa kwanza Muislamu
10 years ago
Mwananchi15 Jun
Azam TV yabadili habari, yaajiri watangazaji wapya
5 years ago
Express.Co.Uk16 Feb
Star Betelgeuse supernova: ESO reveals changing surface of strange star