Stars yachapwa Botswana
TIMU ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, juzi ilichapwa mabao 4-2 mbele ya Botswana katika mechi ya kirafiki iliyochezwa katika Uwanja wa Taifa mjini Gaborone. Stars imeweka kambi nchini Botswana...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLTAIFA STARS YACHAPWA 3-0 NA MISRI
TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imeanza vibaya mechi za Kundi G za kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika 2017 baada ya kufungwa mabao 3-0 na Misri usiku huu mjini Alexandria. Mabao yote ya Misri yamefungwa kipindi cha pili, wafungaji wakiwa Rami Rabia dakika ya 61, Basem Morsi dakika ya 65 na Mohamed Salah dakika ya 70.
10 years ago
VijimamboSTARS YAKOSA KUTAMBA KWENYE MCHEZO WAKE WA KWANZA DHIDI YA SWAZIAND, YACHAPWA BAO 1-0
Kikosi cha Taifa Stars.
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imepoteza mchezo wake wa kwanza wa michuano ya COSAFA Castel Cup dhidi ya timu ya Taifa ya Swaziland, baada ya kufungwa bao 1- 0 mchezo uliochezwa katika uwanja wa Royal Bafokeng jijini Rustenburg.Stars ilipoteza nafasi zaidi ya tano kipindi cha kwanza kupitia kwa washambuliaji wake Saimon Msuva na nahodha John Bocco ambao walishindwa kukwamisha mpira wavuni katika kipindi cha kwanza, ambacho Taifa Stars ilicheza vizuri.Swaziland...
11 years ago
TheCitizen17 Jun
Stars to camp in Botswana ahead of Mozambique duel
The national soccer team, Taifa Stars, is expected to leave for Gaborone, Botswana on June 22 for residential camp ahead of the 2015 Africa CupÂ
11 years ago
TheCitizen01 Jul
Taifa Stars play Botswana in friendly build-up match
The national soccer team,Taifa Stars, today play against Botswana’s ‘The Zebras in an international friendly match in Gaborone.
10 years ago
BBCSwahili26 Mar
Marekani yachapwa 3 -2 na Denmark
Denmark imeiadhibu Marekani katika mechi ya kimataifa ya kirafiki baada ya kuifunga magoli 3 - 2.
10 years ago
BBCSwahili10 Nov
Arsenal yachapwa na Swansea 2 -1
Arsenal walikuwa ugenini wakimenyana na Swansea ambapo wamepata kichapo baada ya kukubali kufungwa magoli 2 -1.
9 years ago
BBCSwahili28 Dec
Azam yashinda, Toto yachapwa
Ligi kuu ya Tanzania bara jana iliendelea tena kwa michezo miwili kuchezwa.
10 years ago
BBCSwahili04 Mar
Westbrom yachapwa na Aston Villa 2-1
Ligi kuu England, iliendelea usiku wa kuamkia leo kwa viwanja vitatu kuwaka moto.
10 years ago
GPLMAN UTD YACHAPWA 5-3 NA LEICESTER
Esteban Cambiasso (katikati) akishangilia baada ya kuifungia bao Leicester dhidi ya Manchester United. TIMU ya Manchester United imepokea kipigo cha mabao 5-3 kutoka kwa Leicester mechi ya Ligi Kuu England iliyopigwa Uwanja wa King Power leo. Wafungaji wa Leicester katika mechi hiyo ni Ulloa (2), Nugent na Cambiasso, Vardy wakati ya Man United yakifungwa na Van Persie, Di Maria na Herrera. ...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania