Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Azam yashinda, Toto yachapwa

Ligi kuu ya Tanzania bara jana iliendelea tena kwa michezo miwili kuchezwa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

AZAM FC YAIFUNGA TOTO AFRICAN 5-0

 Mshambuliaji wa Azam FC, Didier Kavumbagu akitafuta mbinu za kumtoka veki wa Toto African,  Hamis Seleman katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Francis Dande)
Beki wa Toto African, Salum Chuku (katikati) akichuana na mshambuliaji wa Azam FC, Didier Kavumbagu (wa pili kushoto) wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Chamazi jijini Dar es Salaam jana. Azam ilishinda 5-0. 

 

11 years ago

Mwananchi

CAF: Azam yashinda kiduchu

>Azam imeanza vema mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika (CHAN) baada ya kuichapa Ferroviario kwa bao 1-0 katika mechi iliyochezwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi jana.

 

11 years ago

Michuzi

AZAM FC yashinda bao 1-0 dhidi ya Ferroviario de Beira ya Msumbiji leo

 Habari na picha  na Mahmoud Zubeiry AZAM FC imepata ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya Ferroviario de Beira ya Msumbiji katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Awali Kombe la Shirikisho Afrika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam jioni hii.Shukrani kwake mshambuliaji kutoka Ivory Coast, Kipre Herman Tchetche (pichani juu) aliyefunga bao hilo pekee dakika ya 41 baada ya kutengewa pasi nzuri ya kichwa na Mganda Brian Umony na kufumua shuti kali.Mchezo ulikuwa mkali dakika zote 90...

 

10 years ago

Vijimambo

NSSF Yashinda Bonanza la Pasaka Zanzibar Mpira wa Miguu Netiboli Yashinda ZSSF

Viongozi wa ZSSF na NSSF wakiwa katika uwanja wa Amaan tayari kwa kwenda kukagua timu hizio kabla ya mchezo wao wa Tamasha la Michezo la OPasaka lililofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar. Timu ya NSSF imeshinda kwa matuta 4--3. Viongozi wa ZSSF na NSSF wakiwa katika uwanja wa Amaan tayari kwa kwenda kukagua timu hizio kabla ya mchezo wao wa Tamasha la Michezo la OPasaka lililofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar. Timu ya NSSF imeshinda kwa matuta 4--3. Kamisaa wa mchezo wa kirafiki kati ya ZSSF na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Stars yachapwa Botswana

TIMU ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, juzi ilichapwa mabao 4-2 mbele ya Botswana katika mechi ya kirafiki iliyochezwa katika Uwanja wa Taifa mjini Gaborone. Stars imeweka kambi nchini Botswana...

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani yachapwa 3 -2 na Denmark

Denmark imeiadhibu Marekani katika mechi ya kimataifa ya kirafiki baada ya kuifunga magoli 3 - 2.

 

10 years ago

BBCSwahili

Arsenal yachapwa na Swansea 2 -1

Arsenal walikuwa ugenini wakimenyana na Swansea ambapo wamepata kichapo baada ya kukubali kufungwa magoli 2 -1.

 

10 years ago

GPL

TAIFA STARS YACHAPWA 3-0 NA MISRI

TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imeanza vibaya mechi za Kundi G za kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika 2017 baada ya kufungwa mabao 3-0 na Misri usiku huu mjini Alexandria. Mabao yote ya Misri yamefungwa kipindi cha pili, wafungaji wakiwa Rami Rabia dakika ya 61, Basem Morsi dakika ya 65 na Mohamed Salah dakika ya 70.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani