Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


STARTIMES yateta na mawakala wake

Baadhi ya mawakala wa StarTimes Tanzania wakisoma vipeperushi wakati wa hafla iliyoandaliwa kwa madhumuni ya kutoa ufahamu zaidi wa sera na huduma mpya za kampuni hiyo. Anayeonekana mbele akifafanua jambo na kusikilizwa kwa makini ni Meneja wa Operesheni, Bw. Gaspa Ngowi. StarTimes imejiwekea utaratibu wa kukutana na mawakala wake wakubwa na wadogo mara kwa mara ili kujadili mustakabali wa huduma na bidhaa wanazozitoa kwa wateja wao.

Meneja Masoko kitengo cha chaneli na vipindi vya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

NHIF YATETA NA WADAU WAKE WA MKOA WA DAR ES SALAAM

1Kaimu Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam na Mkuu wa Waya ya Ilala Mh. Raymond Mushi akifungua mkutano wa Wadau wa Mfuko wa Bima ya Taifa ya Afya NHIF uliofanyika leo kwenye ukumbi wa Malimu Nyerere Conference Centre jijini Dar es salaam kuzingumzia mambo mbalimbali kuhusu huduma hiyo ya bima ya afya, wadau waliohudhuria katika mkutano huo n kutoka wilaya ya Temeke, Ilala na Kinondoni mkoani Dar es salaam, Lengo kuu likiwa kuhamasisha na wananchi kujiunga na mfuko huo na kufikia asilimia...

 

11 years ago

GPL

NHIF YATETA NA WADAU WAKE WA MKOA WA DAR ES SALAAM‏

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Bima ya Afya Bw. Khamis Mdee akizungumza na kuelezea mikakati ya mfuko huo kwa wadau waliohudhuria katika mkutano huo leo. Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mfuko wa Bima ya Taifa Afya ya Jamii NHIF Balozi Ally Mchumo akimkaribisha mgeni rasmi ili kuzungumza na wadau wa mfuko huo.…

 

11 years ago

Mwananchi

MCL yafuturisha mawakala wake

Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) kwa mara ya kwanza imewafuturisha mawakala wanaouza magazeti yake.

 

11 years ago

GPL

GLOBAL YAGAWA ZAWADI KWA MAWAKALA WAKE

Ofisa Masoko Mwandamizi wa Global Publishers, Benjamini Mwanambuu akimpomgeza mmoja wa mawakala aitwaye William Wilson aliyefanya vizuri kwenye mauzo na kupatiwa 50,000/=. IMhariri wa gazeti la Championi Jumatatu, Ezekiel Kitula (kulia) akimkabidhi 50,000/= Shukuru Shaban.…

 

11 years ago

GPL

GLOBAL YAGAWA BONUS KWA MAWAKALA WAKE

Ofisa Masoko Mwandamizi wa Global Publishers, Benjamini Mwanambuu (kulia) akimpomgeza mmoja wa mawakala aitwaye William Wilson aliyefanya vizuri kwenye mauzo ya gazeti la Championi na kupatiwa Bonus ya 50,000/=. Mhariri wa gazeti la Championi Jumatatu, Ezekiel Kitula (kulia) akimkabidhi bonus ya 50,000/= Shukuru Shaban.…

 

11 years ago

Dewji Blog

NHIF yateta na wasanii BASATA

2

Meneja wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa NHIF tawi la Ilala Bw.Christopher Mapunda akizungumza na washiriki wa semina katika ya shirika hilo na Wasanii mbalimbali iliyofanyika kwenye ukumbi wa Baraa za la Sanaa nchini BASATA ili kupata elimu juu ya huduma za afya zinazotolewa na shirika hilo kwa vikundi mbalimbali na mashirika pamoja na taasisi mbalimbali za serikali, kulia ni Mkwabi Fikirini Meneja Udhibiti na ubora na Hans Mwankenja Ofisa Mwandamizi matekelezo.

3

Baadhi ya maofisa wa...

 

11 years ago

Michuzi

NHIF YATETA NA WAHARIRI MJINI BAGAMOYO

1 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Bima ya Afya NHIF Khamis Mdee akizungumza na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari kwenye hoteli ya Oceanic Bay mjini Bagamoyo asubuhi hii wakati wa seina inayojadili masuala mbalimbali yakiwemo mafanikio ya mfuko huo, malengo na Changamoto zake katika kufanikisha huduma ya afya kwa jamii, ambapo uwigo wa walengwa katika huduma hizo umeongezeka kutoka kaya 120 mwaka 2009 na kufikia kaya 668.474 mwaka 2014 sawa na wanufaika milioni 4.01 na mpaka sasa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Marekani yateta kuhusu hali Ukraine

Marekani imeitaka Urusi kukoma kuvuruga hali ya mambo katika eneo la mashariki mwa Ukraine ambako majengo ya serikali yametekwa.

 

10 years ago

Michuzi

NHIF yateta na NIDA kuhusu vitambulisho

Na Grace Michael
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya umekutana na Uongozi wa Mamlaka ya Vitambulisho (NIDA) kwa lengo la kubadilishana uzoefu na changamoto katika suala la utambuzi wa watumiaji wa huduma za vitambulisho.
Hatua hiyo ya NHIF kukutana na uongozi huo inakusudia kurahisisha upatikanaji wa huduma kwa wanachama wake ambao tayari wana vitambulisho vya Taifa.
Akizungumzia hatua hiyo, Kaimu Mkurugenzi wa NHIF Bw. Michael Mhando, amesema Mfuko wake umeona kuna umuhimu mkubwa wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani