Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Strabag yatangaza mabadiliko ya barabara

MKANDARASI Mkuu wa ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo haraka (BRT), Strabag International, ametangaza mabadiliko ya matumizi katika makutano ya barabara za Morogoro na Kawawa. Akitangaza mabadiliko hayo jana jijini...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Strabag yatangaza mabadiliko makutano ya Morogoro/Kawawa kuanzia Jumatatu

 Mkandarasi mkuu wa ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo haraka (BRT), Strabag International ametangaza mabadiliko ya matumizi katika makutano ya barabara za Morogoro na Kawawa.
Mabadiliko hayo yanaanza Jumatatu tarehe 17 hadi tarehe 30 mwezi huu. Akitangaza mabadiliko hayo jana jijini Dar es Salaam, Afisa uhusiano wa kampuni hiyo, Bw. Yahya Mkumba alisema mabadiliko hayo yanatokana na matengenezo yatakayokuwa yanafanyika eneo hilo.
Akielezea zaidi, alisema magari yatakayokuwa...

 

11 years ago

TheCitizen

‘Strabag fungueni barabara haraka’

Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli ameiagiza Kampuni ya Ujenzi wa Barabara ya Mabasi Yaendayo Kasi (Strabag) kufungua barabara zote zilizokamilika ili kupunguza msongamano wa magari jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Magufuli aamuru Strabag kufungua barabara

WAZIRI wa Ujenzi, John Magufuli, amemtaka mkandarasi Kampuni ya Strabag inayojenga Barabara ya Morogoro, kufungua barabara zilizokamilika  ili kuwapunguzia wananchi adha ya foleni wanayokumbana nayo kila siku. Magufuli amemtaka mkurugenzi...

 

11 years ago

Mwananchi

Mabadiliko matumizi ya barabara D’Salaam

Mabadiliko makubwa ya matumizi ya barabara katikati ya Jiji la Dar es Salaam yanaanza rasmi Jumatatu.

 

11 years ago

Mwananchi

Mabadiliko ya barabara Dar kuanza leo

>Utekelezaji wa mabadiliko ya matumizi ya barabara katikati ya Jiji la Dar es Salaam unaanza leo na alama za kuonyesha njia hizo zimeshawekwa katika barabara zote zitakazohusika.

 

11 years ago

Michuzi

MABADILIKO YA UELEKEO WA BARABARA KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM KUANZIA SIKU YA TAREHE 28/04/2014. TRAFFIC CIRCULATION AT CBD

Key: 1. RANGI YA NJANO - Njia ya Uelekeo Mmoja {One Way}.
 2. RANGI YA BLUE MPAUKO - Njia ya Mielekeo Miwili {Two Way} 
 3. RANGI YA KIJANI - Mitaa ya Kutembea kwa Miguu Magari marufuku {Walking Streets} 
 4. RANGI NYEKUNDU - Barabara za kupita Daladala
 5. RANGI YA BLUU ILIYOIVA - Barabara za DART
 6. DUARA ZA NJANO - Mzunguuko {Roundabout} 
 7. MSALABA WA KIJANI - Makutano yenye Taa za kuongozea Magari {Singnalized Intersection}
1. Kipande cha Mtaa wa Samora kuanzia Mnara wa Askari (Askari...

 

11 years ago

Michuzi

DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKAGUA BARABARA YA MWENGE-TEGETA, MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA (BRT) PAMOJA MIRADI YA UJENZI WA BARABARA ZA JUU TAZARA FLYOVER NA MAKUTANO YA BARABARA ZA JUU UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katikati akiwa na Balozi wa Japan Nchini Masaki Okada kulia wakipita juu ya Daraja la Lugalo mara baada ya kulikagua katika ziara ya Ukaguzi wa Barabara ya Mwenge Tegeta jijini Dar es salaam leo.

 Balozi wa Japan nchini Ndugu Masaki Okada akiwa na Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Said Meck Sadick wakipanda ngazi za daraja la juu la watembea kwa miguu flyover Ubungo...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mabadiliko boraa ndiyo wanainchi wanayohitaji na sio bora mabadiliko-Dkt Magufuli

 Baadhi ya Wakazi wa mji wa Musoma waliojitokeza kwa wingi wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa  akiwahutubia jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Mkendo,Dkt Magufuli aliwaambia wananchi hao ifikapo oktoba 25 wajitokeze kwa wingi wakampigie kura kwani anataka kuwatumikia Watanzania kwa kuwaletea maendeleo.   Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Musoma mjini kwenye mkutano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani