Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


STREET PASTOR A TEMBEA VOICE OF AMERICA

Street pastor Emmanuel Mgaya au Masanja Mkandamizaji ambae ni mgeni na mhubiri katika mkutano wa neno la Mungu ulioanza jana katika kanisa la The Way of The Cross Gospel Ministries jana Jumamosi alipata nafasi ya kutembelea Voice of America ambapo alifanyiwa mahojiano na watangazaji mahiri wa radio hiyo ya kimataifa mahojiano ambayo yalikuwa yakisikika moja kwa moja katika ukanda wa nchi za afrika zinazozungumza kiswalihi. Katika picha Masanja anaonekana akiwa na mwenyeji wake mchungaji...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

STREET PASTOR A WASILIANA MJINI WASHINGTON DC.

Street pastor au mchungaji mtarajiwa Emmanuel Mgaya au Masanja Mkandamizaji amewasili jijini Washington DC nchini Marekani leo mida ya asubuhi tayari kwa ajili ya kuhubiri neno la Mungu katika mkutano wa injili unaotarajiwa kuanza kesho katika kanisa la The Way of The Cross Gospel Ministries. Masanja alipokelewa na wenyeji wake ambao ni Pastor Ferdinand Shideko na Samuel Malonja ambae ni music director katikati kanisa hilo, angalia picha kuona tukio la kuwasili kwake.

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

Dr. W. Peter Slaa kuunguruma Voice of America (VOA) Kesho April 17, 2015


Dr. Slaa: Mahojiano na Voice of America (VOA)

Dr. Slaa atakua VOA kesho April 17, 2015 saa 12:30 Asubuhi (6:30am) saa za Africa Mashariki.Leo April 16, 2015 saa 5:30 usiku (11:30pm) saa za USA Mashariki.

 

11 years ago

Michuzi

SHULE ZA BAGAMOYO KUNUFAIKA NA MAKTABA INAYO TEMBEA

Kamisha wa Elimu nchini Prof, Eustella Bhalalusesa akikata utepe kuashiria uzinduliwa rasmi Maktaba inayo tembea Wilayani Bagamoyo. Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Sayansi Teknolojia na Mawasiliano Bw John Mngodo akiwa washa Piki piki ya Miguu mitatu aina ya TOYO iliyo beba makta kama kiashirio cha Maktaba hiyo inayo tembea ipo tayari kuanza kazi. Mkurugenzi Mkazi wa ITIDO Bi Mwawi Mlekano akimkabidi Kamisha wa Elimu nchini Prof, Eustella Bhalalusesa alioko kushoto Kadi ya TOYO iliyo...

 

9 years ago

Bongo5

Tembea peku uishi miaka mingi zaidi — Mpoto

Mrisho Mpoto ameendelea kujivunia kutembea peku na kudai kuwa ni njia nzuri ya kujiongezea miaka mingi ya kuishi. “Nimeshajibu hili swali mara milioni,” alisema Mrisho baada ya kuulizwa na Global TV sababu ya kutembea peku. “Ili uwe na akili lazima ukanyage chini. Unajua ili uishi muda mrefu, hili ni kosa kubwa la kiufundi ndIo maana […]

 

11 years ago

GPL

PASTOR FUSKA ANASWA!

Stori: Richard Bukos na Issa Mnally OPARESHENI Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers inaendelea! Wiki hii ilifanya kazi nyingine nzito, kumnasa Pastor John Paul Simon Rubanguka wa kanisa la kiroho la Maximum Deliverance lililopo Masaki, Dar ambaye alinaswa akichezewa utupu na wanawake watatu ambao ni kama waumini wake kwa sababu wote ni Wakristo. Pasta John Paul Simon Rubanguka wa kanisa la kiroho la Maximum Deliverance...

 

11 years ago

GPL

WEMA AMHARIBIA PASTOR MYAMBA

Na Waandishi Wetu
STAA wa filamu mwenye jina kubwa nchini, Wema Sepetu hivi karibuni alimuharibia siku Emanuel Myamba maarufu kama Pastor Muyamba, kwa kushindwa kufika kwenye hafla iliyokuwa imeandaliwa na chuo chake cha sanaa ‘TFTC’ akiwa kama mgeni rasmi. Mtoa habari wetu ndani ya taasisi hiyo aliliambia gazeti hili kuwa, Wema aliombwa na kukubali kuhudhuria shughuli hiyo, lakini alipopigiwa simu dakika za mwisho...

 

9 years ago

BBC

Kenyan pastor charged over crash

Controversial Kenyan televangelist James Ng'ang'a denies charges of causing death by dangerous driving and an alleged cover-up of his involvement.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani