STREET PASTOR A WASILIANA MJINI WASHINGTON DC.
![](http://4.bp.blogspot.com/-5XyoxppUZkU/VczWorgCWyI/AAAAAAAAINc/BMvxeRrFHbY/s72-c/20150813_101238.jpg)
Street pastor au mchungaji mtarajiwa Emmanuel Mgaya au Masanja Mkandamizaji amewasili jijini Washington DC nchini Marekani leo mida ya asubuhi tayari kwa ajili ya kuhubiri neno la Mungu katika mkutano wa injili unaotarajiwa kuanza kesho katika kanisa la The Way of The Cross Gospel Ministries. Masanja alipokelewa na wenyeji wake ambao ni Pastor Ferdinand Shideko na Samuel Malonja ambae ni music director katikati kanisa hilo, angalia picha kuona tukio la kuwasili kwake.
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-2_uYnmpE80s/Vc6wrA95yiI/AAAAAAAAIRg/j1ykvidbtAw/s72-c/IMG-20150814-WA0070.jpg)
STREET PASTOR A TEMBEA VOICE OF AMERICA
10 years ago
MichuziMkutano wa kundi la Afrika wafanyika mjini Washington DC
Akishiriki kikao cha kundi la Africa(African Group one Constituency). Kundi hili hukutana kila kunapokuwa na mikutano ya Shirika la Fedha la Kimataifa na Benki ya Dunia kwa lengo la kuwezesha nchi za Afrika kuwa na sauti moja na kujua hatua ambazo Nchi za Afrika zimefikia kuhusiana na...
10 years ago
Dewji Blog15 Apr
Mikutano ya Majira Kipupwe imeanza rasmi Mjini Washington DC
Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier, akipata maelezo kutoka kwa Bw. Said Ngosha Magonya, ambaye ni Kamishina wa Fedha za Nje kuhusu utaratibu uliopangwa na Tanzania katika Mikutano hii ya majira ya kipupwe.
Mikutano ya majira ya Kipupwe imeanza rasmi tarehe 14/4/2015 na kuhudhuriwa na nchi mbalimbali wanachama zaidi ya 188. Mikutano hii huudhuriwa na maelfu ya wafanyakazi kutoka serikalini, waandishi wa habari, Mashirika na...
10 years ago
VijimamboMikutano ya Majira Kipupwe imeanza rasmi Mjini Washington DC.
Tanzania ni nchi wanachama katika Mikutano hiyo.Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya ndiye...
10 years ago
Dewji Blog08 Oct
Benki ya Dunia na IMF yaanza mikutano ya mwaka mjini Washington DC — Marekani
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile akifurahia jambo na Bw.Herve’ Joly ambaye ni Mkurugenzi msaidizi na Mkuu wa idara ya Afrika sehemu ya Mashariki. Mara baada tu ya kuingia ukumbini.
Dr. Servacius Likwelile Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali akiwa pamoja na ujumbe kutoka Tanzania. Kutoka kushoto ni Kamishna wa Bajeti Bw.John Cheyo akifuatiwa na Bi.Mwanaidi Mtanda ambaye ni mhasibu mkuu wa Serikali na wa mwisho...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-4m77cdyoG4E/VDWHsoC4WSI/AAAAAAAGovs/Y3ovsSd_OMs/s72-c/unnamed%2B(28).jpg)
BENKI YA DUNIA NA IMF YAANZA MIKUTANO YA MWAKA MJINI WASHINGTON DC - MAREKANI
10 years ago
MichuziTANZANIA YASHIRIKI MIKUTANO YA MAJIRA YA KIPUPWE ULIOANZA RASMI MJINI WASHINGTON DC
Mikutano ya Majira Kipupwe imeanza rasmi Mjini Washington DC. Mikutano ya majira ya Kipupwe imeanza rasmi tarehe 14/4/2015 na kuhudhuriwa na nchi mbalimbali wanachama zaidi ya 188.
Mikutano hii huudhuriwa na maelfu ya...
11 years ago
MichuziWAZIRI WA NISHATI NA MADINI AKUTANA NA BW. MAYANK BHARGAVA NA BW. PAUL HINKS MJINI WASHINGTON, DC
Mhe. Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo akifanya mazungumuzo na Mr. Mayank Bhargava Mkurugenzi mwendeshaji wa kampuni ya Next Gen Solar USA kwenye ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku ya Jumanne June 10, 2014. Katika mazungumuzo hayo alikuwemo Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula na ujumbe wa Mhe. Waziri wa Nishati na Madini aliokuja nao kutoka Tanzania.
10 years ago
Bongo Movies01 May
Kama Umeguswa na Hili, Wasiliana na Natasha
Niko na mashoga zangu Jangwani Sekondari.kuna wanafunzi zaidi ya 70 wenye ulemavu na wana tatizo la miundo mbinu hasa linapokuja suala la choo na njia ya kwenda maktaba.ndugu zangu wa SVF wamejutolea kujenga choo na hiyo njia.kama nawe unaguswa tuwasiliane ili kwa pamoja tuwarahisishie maisha warembo wetu hawa.
Wote wana ndoto zao.baadhi wanataka kuwa waigizaji.hebu kuwa mmoja wao wa kutimiza ndoto zao.
Na: Natasha on Instagram