Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VOICE OF AMERICA YAMLILIA WAZIRI MAHIGA


CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

STREET PASTOR A TEMBEA VOICE OF AMERICA

Street pastor Emmanuel Mgaya au Masanja Mkandamizaji ambae ni mgeni na mhubiri katika mkutano wa neno la Mungu ulioanza jana katika kanisa la The Way of The Cross Gospel Ministries jana Jumamosi alipata nafasi ya kutembelea Voice of America ambapo alifanyiwa mahojiano na watangazaji mahiri wa radio hiyo ya kimataifa mahojiano ambayo yalikuwa yakisikika moja kwa moja katika ukanda wa nchi za afrika zinazozungumza kiswalihi. Katika picha Masanja anaonekana akiwa na mwenyeji wake mchungaji...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

Dr. W. Peter Slaa kuunguruma Voice of America (VOA) Kesho April 17, 2015


Dr. Slaa: Mahojiano na Voice of America (VOA)

Dr. Slaa atakua VOA kesho April 17, 2015 saa 12:30 Asubuhi (6:30am) saa za Africa Mashariki.Leo April 16, 2015 saa 5:30 usiku (11:30pm) saa za USA Mashariki.

 

5 years ago

BBCSwahili

Waziri wa Katiba Tanzania Balozi Mahiga afariki dunia

Taarifa kutoka Ikulu ya rais nchini Tanzania zimethibitisha kifo cha Waziri wa Katiba wa nchi hiyo Balozi Mahiga amefariki dunia.

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Mahiga akutana kwa mazungumzo na Balozi wa China nchini

Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga akimkaribisha Balozi wa China hapa nchini, Mhe. Dkt. Lu Youqing  alipofika Wizarani kwa ajili ya kumpongeza kwa kuteuliwa katika wadhifa huo mpya na pia kuzungumzia masuala ya ushirikiano kati ya Tanzania na China. Pembeni ni Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia katika Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Mbelwa Kairuki. Balozi...

 

9 years ago

Michuzi

Waziri Mahiga akutana na Mabalozi wa Qatar na Kuwait waliopo nchini

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (Mb.) akifanya mazungumzo na Balozi wa Qatar Mhe. Abdullah Jassim Almaadadi alipofika Wizarani kwa ajili ya kumpongeza kwa kuteuliwa katika wadhifa wake mpya na pia kumhakikishia ushirikiano kati ya Tanzania na Qatar. Mazungumzo hayo yalifanyika tarehe 30 Desemba, 2015. Balozi Al maadadi naye akizungumza huku Mhe. Mahiga akimsikiliza.  Mazungumzo yakiendelea.KWA PICHA ZAIDI BOFYA...

 

5 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT: Rais DKT Magufuli atangaza kifo cha Waziri Augustine Mahiga






Pichani ni aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Philip Mahiga (Mbunge)  aliyefariki leo tarehe 01 Mei, 2020 Jijini Dodoma. 





 

9 years ago

Michuzi

Waziri Mahiga apokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Palestina nchini


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (Mb.) akipokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Palestina hapa nchini, Mhe. Hazem Shabat. Tukio hilo lilifanyika Wizarani tarehe 30 Desemba, 2015.  Waziri Mahiga akizungumza na Mhe. Balozi Mteule wa Palestina nchini, Mhe. Shabat mara baada ya kupokea nakala za hati za utambulisho wake. Katika mazungumzo yao Balozi Shabat alimpongeza Waziri Mahiga kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani