Sudan yawatimua maafisa wa UN
Umoja wa mataifa unasema kuwa Sudan imewafukuza maafisa wake wawili wakuu kutoka nchini humo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili17 Feb
Venezuela yawatimua maafisa wa Marekani
Rais wa Venezuela,Nicolas Maduro amewatimua maafisa wa ubalozi wa Marekani akiwashutumu kuwaunga mkono wapinzani
10 years ago
Mwananchi30 Oct
Serikali yawatimua watumishi watano
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, imewatimua kazi wafanyakazi wake watano na kuwasimamisha wengine 10 kutokana na kufanya hujuma mbalimbali, ikiwamo kughushi hati za viwanja.
10 years ago
BBCSwahili10 Jun
Newcastle yawatimua Carver,Stone
Timu ya soka ya Newcastle United imemtimua kocha wake mkuu John Carver pamoja na msaidizi wake Steve Stone
11 years ago
Mwananchi06 Jan
Chadema yawatimua Dk Kitila, Mwigamba
>Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) imewafukuza uanachama, aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Mkoa wa Arusha, Samson Mwigamba na aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu, Dk Kitila Mkumbo.
11 years ago
BBCSwahili26 Jun
Ghana yawatimua Muntari na Boateng
Wachezaji wa Ghana Sulley Muntari na Kevin Prince Boateng wamefukuzwa kwa kukosa nidhamu.
10 years ago
Tanzania Daima19 Nov
Serikali yawatimua watano TRA
SERIKALI iliwafukuza kazi watumishi watano wa Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) mwaka jana baada ya kubainika kuwa walihusika kuandika taarifa zisizo sahihi juu ya mali zilizokuwemo ndani ya baadhi ya...
10 years ago
BBCSwahili17 May
Afrika Kusini yawatimua wageni 400
Afrika Kusini imeanzisha operesheni ya kuwafurusha raia wa mataifa mengine ya Afrika kufuatia vurumai za kibaguzi zilizoibuka dhidi ya wageni katika taifa hilo hivi majuzi.
11 years ago
Mwananchi27 Jul
Kinondoni yawatimua kazi watumishi tisa
Baraza la Madiwani la Manispaa yaa Kinondoni jijini Dar es Salaam limewafukuza kazi watumishi wake tisa kati ya 11 kwa madai ya matumizi mabaya ya madaraka.
10 years ago
Mwananchi28 Oct
Kamati ya Zitto yawatimua vigogo wa TPDC
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), jana iligeuka ‘mwiba mkali’ kwa watendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Kampuni ya Ranchi ya Taifa (Narco) na Wizara ya Nishati na Madini, baada ya kuwatimua wakurugenzi na wenyeviti wa bodi kwa kushindwa kutoa maelezo ya kina kuhusu ubadhirifu wa fedha za umma, uzembe na wizi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania