Sumatra yatoa vibali vya muda mabasi kwenda Kilimanjaro
Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imelazimika kutoa vibali vya wiki moja kwa mabasi ya mikoa ambayo haina abiria wengi kufanya safari za Kaskazini na Kanda ya Ziwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo24 Dec
SUMATRA yatoa vibali vya dharura 75 vya mabasi
JUMLA ya vibali vya dharura 75 vya mabasi vimetolewa na Mamlaka ya Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA) kwa ajili ya kukabiliana na tatizo la usafiri kipindi hiki cha sikukuu huku hali ya usafiri katika Kituo cha Mabasi cha Ubungo ikizidi kuwa ngumu.
10 years ago
Habarileo09 Jun
Serikali yatoa vibali vya madini kwa wananchi
NAIBU Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga amesema, serikali imekuwa ikitoa vibali vya uchimbaji wa madini kwa wananchi wanaohitaji kufanya hivyo, pindi inapogundua kuna maeneo yana madini.
9 years ago
MichuziSERIKALI YATOA UFAFANUZI JUU YA UPATIKANAJI WA VIBALI VYA KUSAFIRISHA MAZAO NJE YA NCHI
Akitoa ufafanuzi huo, Mwanasheria wa Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika Bwana George Mandepo (Pichani) alisema kuwa vibali vya kusafirisha mazao ya kilimo nje ya nchi, hutolewa bila gharama na kuongeza kuwa biashara hiyo inaweza kufanywa na mtu yeyote, kinachotakiwa ni mhusika kuzingatia sheria na...
10 years ago
Vijimambo29 Apr
Tishio mgomo wa mabasi. Sumatra, wamiliki mabasi jino kwa jino.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Ngwew-29April2015.jpg)
Katibu Mkuu wa Taboa, Enea Mrutu, alisisitiza msimamo wao wa kugoma walioutoa juzi alipozungumza na NIPASHE jana.
Alisema mgomo walioutangaza uko palepale ingawa kuna mazungumzo kati yao na Sumatra...
5 years ago
MichuziTYEC MKOA WA SINGIDA YATOA ELIMU STENDI YA MABASI NAMNA YA KUJIKINGA KUPATA VIRUSI VYA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-rypUsh5SygA/XocNK2h5RkI/AAAAAAAAkhg/u8LyJAdUXUU2wRarkFB-Tz-TiCMPRpRdgCLcBGAsYHQ/s640/IMG-20200403-WA0005.jpg)
10 years ago
Mtanzania28 Apr
Wamiliki wa mabasi waivimbia Sumatra
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
WAMILIKI wa mabasi yaendayo mikoani wameitunishia msuli Mamlaka ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) na kusema hawatashusha nauli kutokana na bei ya mafuta kuzidi kupanda.
Pia wamesema kama Sumatra hawatatoa majibu mapema, kuanzia Aprili 29 mwaka huu hawatokata tiketi kwa wasafiri wa mikoani badala yake wataitisha mgomo ambao utadumu kwa siku saba.
Akizungumza katika kikao cha dharura cha Chama cha Wamiliki wa Mabasi yaendayo mikoani (Taboa) Dar es...
11 years ago
Mwananchi19 Dec
Sumatra yaonya wamiliki mabasi
10 years ago
Habarileo13 Nov
Sumatra kubana mabasi ya mikoani
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi kavu na Majini (Sumatra) imebaini baadhi ya mabasi yaendayo mikoani, yameondoa orodha ya namba za simu zilizobandikwa na hivyo kuagiza kufikia leo, ziwe zimebandikwa.
10 years ago
Habarileo19 Feb
Nauli za mabasi hazitabadilishwa-Sumatra
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imeshikwa kigugumizi kuhusu suala la kushusha nauli ya magari ya abiria kwa kutoa sababu za kisheria pamoja na ukokotoaji wa tozo.