Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sumaye- Walimu ni waelewa sana

ALIYEKUWA Waziri Mkuu wa Tanzania, Frederick Sumaye, ametaka uboreshaji wa elimu nchini, uendane na utoaji wa elimu unaozingatia kumlea kijana kuwa mzalendo na asiyeshiriki katika maovu. Sumaye alisema hayo jana mkoani hapa alipokuwa akizungumza katika katika ufunguzi wa sherehe ya Siku ya Mwalimu Duniani, ambako alialikwa kuwa mgeni rasmi na Chama Cha Walimu mkoani hapa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Sumaye ashauri Serikali kushirikisha walimu

Waziri Mkuu mstaafu Frederick Sumaye ameishauri Serikali kuwashirikisha walimu kwa kujadiliana nao kuhusu matatizo yanayowakabili angalau kutafuta jinsi ya kupunguza makali yake.

 

10 years ago

Bongo Movies

Lulu: Nilishalia Sana, Nishaumia Sana Lakini Kwasasa…….

Staa mrembo kutoka Bongo Movies Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameamua kutoboa kile alichokiita kama faraja yake kwa hivi sasa.

“Faraja YANGU...Nishalia sana,nishaumia sana lakini kwa sasa nikiona mmoja kati ya hawa analia au kuumia ndo kitu kinachoweza kuniumiza zaidi...!MUNGU awatunzeeee”-Lulu aliandika hayo jana usiku kwenye ukursa wake mtandaoni mara baada ya kuweka picha ya mama yake na mdogo wake.

Kufuatia andiko hilo komenti za mashabiki wengi zilielekea zaidi kumzungumzia kifo cha Steven...

 

10 years ago

Mwananchi

Walimu Nachingwea wataka hisa Benki ya Walimu ziuzwe kwa simu

Walimu wilayani hapa wamekiomba Chama cha Walimu Tanzania (CWT), kuweka utaratibu utakaowawezesha walimu walioko pembezoni kununua hisa katika Benki ya Walimu ikiwamo ya kutumia kutumia mitandao ya simu za mkononi.

 

5 years ago

Michuzi

JAFO AITAKA TUME YA UTUMISHI WA WALIMU KUTATUA CHANGAMOTO ZA WALIMU NCHINI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- TAMISEMI, Selemani Jafo ameutaka uongozi mpya wa Tume ya Utumishi wa Walimu kutatua changamoto za walimu ili kuwatia moyo katika kutimiza majukumu yao.

Kauli hiyo ameitoa jijini Dodoma wakati wa kuapishwa wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Walimu .

Jafo amesema kuwa Tume hiyo ndani ya wiki moja ikafanyie kazi mashauri ya rufaa 110 ili walimu waweze kutekeleza majukumu yao katika ubora unaohitajika.

Akizungumza amesema kuwa Tume inatakiwa kufanya kazi kwa weledi wa hali...

 

11 years ago

Mwananchi

Umuhimu wa walimu wazoefu kuwasimamia walimu wapya shuleni

Mwalimu mahiri ni mwalimu mwenye uwezo wa kumudu kufundisha somo lake kikamilifu na kisha kutoa maarifa sahihi kwa mujibu wa maelekezo ya silabasi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani