Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sumaye ashauri Serikali kushirikisha walimu

Waziri Mkuu mstaafu Frederick Sumaye ameishauri Serikali kuwashirikisha walimu kwa kujadiliana nao kuhusu matatizo yanayowakabili angalau kutafuta jinsi ya kupunguza makali yake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Iraq:Serikali mpya kushirikisha wasunni

Msemaji wa chama cha waziri mkuu nchini Iraq ameimbia BBC kwamba Nouri al Malik atabuni serikali itakayoshirikisha kila mtu

 

10 years ago

Tanzania Daima

Serikali yashauriwa kushirikisha vyombo vya habari

SERIKALI imeshauriwa kuvishirikisha vyombo vya habari katika mchakato mpya wa Malengo Endelevu ya Maendeleo (SDGs), ili viweze kuielimisha jamii kutokana na nafasi kubwa ilivyo navyo. Rai hiyo, ilitolewa jijini Dar...

 

10 years ago

Habarileo

Sumaye- Walimu ni waelewa sana

ALIYEKUWA Waziri Mkuu wa Tanzania, Frederick Sumaye, ametaka uboreshaji wa elimu nchini, uendane na utoaji wa elimu unaozingatia kumlea kijana kuwa mzalendo na asiyeshiriki katika maovu. Sumaye alisema hayo jana mkoani hapa alipokuwa akizungumza katika katika ufunguzi wa sherehe ya Siku ya Mwalimu Duniani, ambako alialikwa kuwa mgeni rasmi na Chama Cha Walimu mkoani hapa.

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Kilahama ashauri Serikali itoze ada

Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Misitu na Nyuki nchini, Dk Feliciana Kilahama ameishauri Serikali kuanza kutoza ada ya kuwaangalia wanyama kutokana thamani yao.

 

11 years ago

Habarileo

CAG ashauri Serikali kukabili ukata

MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh, ameishauri Serikali na Bunge kuangalia upya vyanzo vya mapato na matumizi ya fedha za Serikali, kwa kuwa ni dhahiri hali ya fedha si nzuri kabisa. Alisema hayo jana mjini hapa wakati wa kufungua mkutano wa pili wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali.

 

11 years ago

Mwananchi

Msomi ashauri muundo wa serikali mbili ulioboreshwa

>Profesa Robert Msanga wa Chuo Kikuu kishiriki cha Ushirika na Biashara Moshi (Muccobs) amependekeza muundo wa Muungano wa serikali mbili uendee kutumika isipokuwa uboreshwe.

 

11 years ago

Mwananchi

Askofu Munga ashauri Serikali kupitisha Katiba wanayotaka wananchi

Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Dk Stephen Munga ameshauri Serikali kupitisha Katiba ambayo itatenda haki kwa Watanzania kwa kuzingatia kanuni na hekima, badala ya kuingiza matakwa ya kila mtu.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Sumaye: Serikali iwekeze kwenye kilimo

WAZIRI Mkuu mstaafu Frederick Sumaye, amesema ili Tanzania iimarike kiuchumi ni lazima serikali iwekeze kwenye kilimo, ufugaji na tafiti zake. Alisema uwekezaji katika maeneo hayo, utasaidia kuondoa umasikini unaowakabili Watanzania...

 

9 years ago

Mwananchi

Serikali yaamuru waliovamia shamba la Sumaye waondoke

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki amewataka waliovamia na kujigawia maeneo ya watu wengine likiwamo la Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye na aliyewahi kuwa Naibu Waziri wa Ardhi, Ritha Mlaki waondoke mara moja kwa kuwa wamevunja sheria.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani