Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CAG ashauri Serikali kukabili ukata

MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh, ameishauri Serikali na Bunge kuangalia upya vyanzo vya mapato na matumizi ya fedha za Serikali, kwa kuwa ni dhahiri hali ya fedha si nzuri kabisa. Alisema hayo jana mjini hapa wakati wa kufungua mkutano wa pili wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Dk Kilahama ashauri Serikali itoze ada

Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Misitu na Nyuki nchini, Dk Feliciana Kilahama ameishauri Serikali kuanza kutoza ada ya kuwaangalia wanyama kutokana thamani yao.

 

10 years ago

Mwananchi

Sumaye ashauri Serikali kushirikisha walimu

Waziri Mkuu mstaafu Frederick Sumaye ameishauri Serikali kuwashirikisha walimu kwa kujadiliana nao kuhusu matatizo yanayowakabili angalau kutafuta jinsi ya kupunguza makali yake.

 

11 years ago

Mwananchi

Msomi ashauri muundo wa serikali mbili ulioboreshwa

>Profesa Robert Msanga wa Chuo Kikuu kishiriki cha Ushirika na Biashara Moshi (Muccobs) amependekeza muundo wa Muungano wa serikali mbili uendee kutumika isipokuwa uboreshwe.

 

11 years ago

Mwananchi

Askofu Munga ashauri Serikali kupitisha Katiba wanayotaka wananchi

Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Dk Stephen Munga ameshauri Serikali kupitisha Katiba ambayo itatenda haki kwa Watanzania kwa kuzingatia kanuni na hekima, badala ya kuingiza matakwa ya kila mtu.

 

11 years ago

Habarileo

Serikali kukabili tatizo la tabianchi

SERIKALI imesema bado inategemea fedha zaidi kutoka kwa wadau mbalimbali wa maendeleo ili kufanya mambo mengi zaidi katika kukabiliana na tatizo la tabianchi, ambalo kwa sasa limezikumba nchi nyingi duniani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali yajipanga kukabili Ebola

SERIKALI imesema itahakikisha hakuna mwananchi atakayefariki kutokana na kukosa huduma katika vituo vya afya pindi atakapobanika kuwa na ugonjwa wa Ebola labda achelewe kufika katika vituo hivyo. Kauli hiyo ilitolewa na Naibu...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Serikali yajipanga kukabili mafuriko

SERIKALI imesema imejipanga kuhakikisha inakabiliana na matatizo ya mafuliko yanayojitokeza kipindi cha mvua katika jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam. Kauli hiyo ilitolewa jana bungeni na Waziri wa Ujenzi,...

 

9 years ago

Habarileo

Serikali yaajiri 588 kukabili ujangili

WIZARA ya Maliasili na Utalii imetoa ajira mpya kwa watumishi wapya wapatao 588 ikiwa idadi kubwa miongoni mwao ni watumishi wa kada ya Ofisa Wanyamapori na Wahifadhi Wanyamapori, lengo likiwa ni kukabiliana na mashambulio mengi kutoka kwa majangili.

 

9 years ago

Habarileo

Serikali imejipanga kukabili njaa-Bendera

MKUU wa Mkoa wa Manyara, Dk Joel Bendera amewahakikishia wananchi wa wilaya ya Hanang’ kuwa hakuna mwananchi atakayekufa kwa njaa kwa kuwa serikali imejipanga kukabiliana na hali hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani