Sumaye asema Dk Magufuli amepoteza dira, anadandia
Siku moja baada ya Dk John Magufuli kupachika jina lake kwenye operesheni ya Chadema ya M4C, Waziri Mkuu wa zamani, Frederick Sumaye amemuelezea mgombea huyo urais wa CCM kuwa ni mtu anayedandia hoja baada ya kupoteza dira.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo23 Aug
Sumaye: Sina tatizo na Magufuli
WAZIRI Mkuu mstaafu Frederick Sumaye hatimaye ametangaza rasmi kukihama Chama Cha Mapinduzi (CCM), na kujiunga na Umoja wa vyama vya Upinzani vinavyounda kundi la Umoja wa Katiba (UKAWA), huku akisema kwamba hana tatizo na mgombea Urais wa CCM Dk John Magufuli.
9 years ago
MichuziHIVI NDIVYO MAGUFULI ALIVYOUTIKISA MJI WA MOROGORO JIONI YA LEO,JK ASEMA MAGUFULI NDIO JIBU SAHIHI AWAMU YA TANO.
9 years ago
Mwananchi17 Sep
Magufuli asema M4C ni ‘Magufuli for Change’
9 years ago
VijimamboSUMAYE: Walioficha fedha nje watazirudisha; Magufuli haiingii Ikulu 2015
Fredrick SumayeWaziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye, amesema kama Lowassa atafanikiwa kuingia madarakani Watanzania walioficha fedha nje ya nchi watazirudisha.Sumaye alitoa kauli hiyo jana alipohutubia mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Laini Polisi mjini Nzega, Mkoa wa Tabora.
Kwa mujibu wa Sumaye, fedha hizo ambazo Serikali ya CCM imeshindwa kuzirudisha zitatakiwa kurudi kwa sababu ni mali ya Watanzania.
“Jana (juzi) mmemsikia Magufuli (Mgombea urais wa CCM, Dk. John Magufuli), akisema...
11 years ago
Mwananchi07 Aug
Polepole: Anayezuia mijadala amepoteza sifa za uongozi
9 years ago
BBCSwahili04 Dec
Aliyekataa tiba akisema amepoteza mng’ao afariki
9 years ago
Mwananchi21 Oct
Msimchague Magufuli, asema Mghwira
10 years ago
Bongo Movies27 Apr
Wema: Mama Yangu Amepoteza Uwezo wa Kuona Kwa 75%!
Staa wa Bongo movies, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ amefunguka kuwa mama yake mzazi, Miriam Sepetu anasumbuliwa na macho ambapo madaktari wamegundua kwamba amepoteza uwezo wa kuona kwa asilimia sabini na tano (75%).
Kwa mujibu wa Wema, aliamua kumpeleka mzazi wake huyo hospitalini (hakuitaja) ndipo alipohakikishiwa tatizo hilo ambalo limekuwa likimsumbua kwa muda mrefu.
“Kumnusuru mama yangu asipate upofu wa moja kwa moja inabidi afanyiwe operesheni ya macho,” alisema Wema kwa huzuni kwa kuwa...
9 years ago
Mtanzania23 Oct
Magufuli asema yeye ndiye mshindi
NA BAKARI KIMWANGA, CHALINZE
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema anajua yeye ndiye rais wa awamu ya tano na Watanzania wameshamhakikishia watamchagua keshokutwa wakati wa kupiga kura.
Kwa mujibu wa Dk. Magufuli, anajua Watanzania wamechoshwa na ahadi za uongo, na kwamba sasa wanahitaji ahadi za vitendo.
Dk. Magufuli aliyasema hayo jana katika mkutano wa kampeni uliofanyika Chalinze, Mkoa wa Pwani.
“Watu wamechoshwa na ahadi za uongo na wanahitaji...