SUMAYE: Walioficha fedha nje watazirudisha; Magufuli haiingii Ikulu 2015
![](http://2.bp.blogspot.com/-r46DFvb5KWA/Ve3OlpZKE-I/AAAAAAAA0w4/eIqEDu3au4k/s72-c/1%2B%25289%2529.jpg)
Fredrick SumayeWaziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye, amesema kama Lowassa atafanikiwa kuingia madarakani Watanzania walioficha fedha nje ya nchi watazirudisha.Sumaye alitoa kauli hiyo jana alipohutubia mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Laini Polisi mjini Nzega, Mkoa wa Tabora.
Kwa mujibu wa Sumaye, fedha hizo ambazo Serikali ya CCM imeshindwa kuzirudisha zitatakiwa kurudi kwa sababu ni mali ya Watanzania.
“Jana (juzi) mmemsikia Magufuli (Mgombea urais wa CCM, Dk. John Magufuli), akisema...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania25 Feb
Mtandao: Walioficha fedha nje wafichuliwe
Elias Msuya na mashirika ya habari
MTANDAO wa ONE wenye makao yake nchini Afrika Kusini umewataka Waafrika Kuungana na kutia saini azimio la kuitaka Benki ya Malipo ya Kimataifa (BIS)kuweka wazi taarifa za fedha zilizofichwa katika benki za nje ili kusaidia katika mapambano dhidi ya rushwa.
Benki hiyo yenye makao yake makuu nchini Uswisi ilianzishwa tangu mwaka 1930 ikiwa na lengo la kuratibu benki kuu duniani katika kuzilinda kifedha na kukuza uhusiano wa kimataifa.
Benki hiyo sasa imetoa...
10 years ago
VijimamboWAZIRI WA FEDHA ZANZIBAR, MHE. OMAR YUSSUF MZEE AWASILISHA BAJETI KWA MWAKA WA FEDHA 2015/2016
9 years ago
Habarileo23 Aug
Sumaye: Sina tatizo na Magufuli
WAZIRI Mkuu mstaafu Frederick Sumaye hatimaye ametangaza rasmi kukihama Chama Cha Mapinduzi (CCM), na kujiunga na Umoja wa vyama vya Upinzani vinavyounda kundi la Umoja wa Katiba (UKAWA), huku akisema kwamba hana tatizo na mgombea Urais wa CCM Dk John Magufuli.
11 years ago
Mwananchi13 Jul
Sumaye: Nitagombea urais 2015
9 years ago
Mzalendo Zanzibar25 Oct
Naiona safari ya CCM nje ya Ikulu
Posted on October 24, 2015 Na Enzi T. Aboud KISHINDO cha mabadiliko kimekuwa kama wingu kubwa na pana linalowasogeza pamoja wataka mabadiliko na kuvifanya vyama viwili vikubwa Zanzibar vya CCM na CUF vyenye ushindani kutikisa siasa […]
The post Naiona safari ya CCM nje ya Ikulu appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
BBCSwahili07 Feb
Bomu lalipuka nje ya ikulu ya rais Yemen
9 years ago
Mwananchi18 Sep
Sumaye asema Dk Magufuli amepoteza dira, anadandia
10 years ago
GPLSUMAYE ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS 2015
10 years ago
MichuziWAZIRI WA FEDHA ZANZIBAR ASOMA BAJETI YA FEDHA YA MWAKA KWA MWAKA 2015/16 LEO