Mtandao: Walioficha fedha nje wafichuliwe
Elias Msuya na mashirika ya habari
MTANDAO wa ONE wenye makao yake nchini Afrika Kusini umewataka Waafrika Kuungana na kutia saini azimio la kuitaka Benki ya Malipo ya Kimataifa (BIS)kuweka wazi taarifa za fedha zilizofichwa katika benki za nje ili kusaidia katika mapambano dhidi ya rushwa.
Benki hiyo yenye makao yake makuu nchini Uswisi ilianzishwa tangu mwaka 1930 ikiwa na lengo la kuratibu benki kuu duniani katika kuzilinda kifedha na kukuza uhusiano wa kimataifa.
Benki hiyo sasa imetoa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-r46DFvb5KWA/Ve3OlpZKE-I/AAAAAAAA0w4/eIqEDu3au4k/s72-c/1%2B%25289%2529.jpg)
SUMAYE: Walioficha fedha nje watazirudisha; Magufuli haiingii Ikulu 2015
![](http://2.bp.blogspot.com/-r46DFvb5KWA/Ve3OlpZKE-I/AAAAAAAA0w4/eIqEDu3au4k/s640/1%2B%25289%2529.jpg)
Fredrick SumayeWaziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye, amesema kama Lowassa atafanikiwa kuingia madarakani Watanzania walioficha fedha nje ya nchi watazirudisha.Sumaye alitoa kauli hiyo jana alipohutubia mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Laini Polisi mjini Nzega, Mkoa wa Tabora.
Kwa mujibu wa Sumaye, fedha hizo ambazo Serikali ya CCM imeshindwa kuzirudisha zitatakiwa kurudi kwa sababu ni mali ya Watanzania.
“Jana (juzi) mmemsikia Magufuli (Mgombea urais wa CCM, Dk. John Magufuli), akisema...
11 years ago
Habarileo03 Mar
Aagiza waandishi makanjanja wafichuliwe
WAHITIMU wa Uandishi wa Habari wa Chuo cha Uandishi wa Habari Morogoro (MSJ) wametakiwa kuwafichua waandishi wa habari wasio na sifa, waojiingiza kwenye tasnia ya habari. Imeelezwa kuwa waandishi hao wasio na sifa, wanaifanya taaluma hiyo ionekane kuwa ni ya uchochezi mbele ya jamii na iliyokosa mwelekeo.
10 years ago
Mwananchi16 Sep
Changamoto za miamala ya fedha kwa njia ya mtandao- 2
10 years ago
MichuziWIZI WA FEDHA KWA KUTUMIA MTANDAO TISHIO DUNIANI
11 years ago
Mwananchi27 Dec
Zitto: Siwataji walioficha mabilioni Uswisi ng’o
10 years ago
VijimamboWatanzania Waishio Nje ya Nchi sasa Kupata Filamu za Kitanzania Kupitia Mtandao
10 years ago
GPLWATANZANIA WAISHIO NJE YA NCHI SASA KUPATA FILAMU ZA KITANZANIA KUPITIA MTANDAO
10 years ago
Mwananchi13 May
MCHANGO WA MAWAZO: Tunawashukuru waliotutunzia fedha zetu nje
11 years ago
Mwananchi31 May
Mnyika aishukia Serikali utoroshaji fedha nje ya nchi