Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sumaye wenzako hawakuelewi kwa haya

MOJA kati ya mambo yanayowakwaza vijana wengi nchini ni kutotimizwa kwa ahadi za kuboreshewa mazingira ya kufanya kazi, kusaidiwa kifedha pamoja na ahadi wanazopewa na viongozi wanapofanya kampeni za kutafuta...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SHOGA, CHAKULA ULE WEWE KWA NINI UWAKERE WENZAKO?

Shoga zangu, leo nitazunguma nanyi ‘topiki’ inayohuwahusu wenzetu wanaoishi katika nyumba ambazo hazina silingibodi.Naamini hakuna mtu asiyejua maana ya silingibodi, kama wapo ambao nitakuwa nimewaacha hewani, namaanisha wenzetu wanaoishi kwenye nyumba ambazo darini hakujazibwa. Soma zaidi hapa ====>http://bit.ly/1GiCHTx

 

11 years ago

GPL

USIPORIDHIKA NA KUMSIFIA MKEO, WENZAKO WATAMSIFIA - 2

Mpenzi msomaji wangu, kuna wanaume naweza kusema hawajui mapenzi ni nini na vipi yanaweza kuboreshwa. Baadhi yao wanapuuza vitu vidogovidogo ambavyo huenda wangevifanya vingeliboresha penzi lao. Kabla ya kwenda kwenye mada yenyewe, nikupe kisa kimoja. Kuna dada mmoja ameolewa na anafanya kazi benki. Dada huyu kila akitoka hujitahidi kuvaa vizuri lakini mume wake hajawahi kumwambia amependeza. Mwanamke huyo akitoka nyumbani kwake...

 

10 years ago

GPL

SHOGA: UKIMDHARAU MUMEO WENZAKO WATAMCHUKUA JUMLA

Shoga, awali ya yote napenda kuwaasa kwamba ukifika muda wa kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Kupiga Kura kwenye maeneo yenu, jitokezeni kwa wingi  kujiandikisha ili mpate fursa ya kuwachagua viongozi mnaowataka akiwemo rais kwani bila kufanya hivyo hamtapata nafasi hiyo. Baada ya kutoa rai hiyo, sasa ngoja nirejee kwenye jambo nililokusudia kuzungumza nanyi linalohusu dharau dhidi ya waume zetu tabia ambayo inafanywa...

 

10 years ago

GPL

UNASEMA WA NINI, WENZAKO WANAJIULIZA WATAMPATA LINI?

HUU ni msemo maarufu sana katika jamii yetu. Umekuwa ukitumika kama moja ya misemo ya kupeana faraja baina ya watu, kwani mahangaiko na mizunguko ya maisha inawafanya watu wengine kukata tamaa mapema, wakiamini kuwa wao hawana thamani. Ndiyo, kuna watu wengi wanaumizwa sana na mapenzi, wakubwa kwa wadogo. Wapo wanaoumia sana wakiwa katika ndoa zao, kinachowaumiza ni nyenendo zenye kutia shaka za wenza wao. Siyo kwamba wana...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Sikutoswa u-RC kwa sababu ya Sumaye’

“Mimi sikuachwa na Kikwete (Rais Jakaya Kikwete) kwa sababu hiyo, kwa wakati ule Sumaye (Frederick Sumaye) alikuwa waziri wangu mkuu, hivyo ilikuwa lazima nimuandalie mazingira mazuri, sasa watu ndiyo wakatafsiri vinginevyo, kama ningeonyesha hadharani kumpinga isingeleta picha nzuri.

 

9 years ago

Vijimambo

MATOKEO KWA NGAZI YA UBUNGE KWA MAJIMBO YALIYOTANGWAZWA NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI HAYA HAPA

Baadhi ya wabunge wameendelea kutetea majimbo yao kwa kupata kura za kishindo, wakiongozwa na mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aliyetetea jimbo lake la Hai, Joshua Nassar (Chadema, Arumeru Mashariki), Stephen Masele (CCM, Shinyanga Mjini), Jenister Mhagama (CCM, Peramiho), Silvestry Koka (CCM, Kibaha), David Silinde (Chadema,Momba), Aesh Hilaly (CCM, Sumbawanga Mjini), Joseph Selasini (Chadema,Rombo), Profesa Jumanne Maghembe (CCM Mwanga).

Jimbo la TundumaUbunge: Mwakajoka Frank (Chadema)...

 

11 years ago

Habarileo

Sumaye: Uvunjifu wa amani ni hatari kwa nchi

JAMII imehadharishwa dhidi ya uvunjifu wa amani kuwa ni hatari kwa maendeleo ya uchumi wa nchi na watu kwa ujumla. Waziri Mkuu mstaafu Frederick Sumaye alisema hali ya utulivu ni chachu katika kukuza uchumi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani