‘Sikutoswa u-RC kwa sababu ya Sumaye’
“Mimi sikuachwa na Kikwete (Rais Jakaya Kikwete) kwa sababu hiyo, kwa wakati ule Sumaye (Frederick Sumaye) alikuwa waziri wangu mkuu, hivyo ilikuwa lazima nimuandalie mazingira mazuri, sasa watu ndiyo wakatafsiri vinginevyo, kama ningeonyesha hadharani kumpinga isingeleta picha nzuri.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/LofQGOS0bCM/default.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima12 Jul
Sumaye wenzako hawakuelewi kwa haya
MOJA kati ya mambo yanayowakwaza vijana wengi nchini ni kutotimizwa kwa ahadi za kuboreshewa mazingira ya kufanya kazi, kusaidiwa kifedha pamoja na ahadi wanazopewa na viongozi wanapofanya kampeni za kutafuta...
9 years ago
Raia Mwema28 Aug
Sumaye alipoingia Ukawa kwa gia ya ‘reverse’
TUKIO kubwa katika siasa za Tanzania wiki iliyopita ilikuwa ni lile la Waziri Mkuu wa zamani wa T
Njonjo Mfaume
10 years ago
Vijimambo11 Nov
Sumaye:Kwa nini najitosa kusaka urais
![](http://taarifa.co.tz/wp-content/uploads/2014/11/frederick-sumaye.jpg)
Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, ametaja sababu tatu za kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa mwakani, akieleza kuwa mojawapo ni kukuza uchumi unaogusa maisha ya Watanzania wengi.
Akizungumza na NIPASHE wiki iliyopita katika mahojiano maalum nyumbani kwake Kiluvya, nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam, Sumaye (64), alisema suala la pili linalomsukuma kuwania nafasi ya kuwa mkuu wa nchi ni vita dhidi ya rushwa, ufisadi na dawa za kulevya.
Alitaja...
11 years ago
Habarileo12 Feb
Sumaye: Uvunjifu wa amani ni hatari kwa nchi
JAMII imehadharishwa dhidi ya uvunjifu wa amani kuwa ni hatari kwa maendeleo ya uchumi wa nchi na watu kwa ujumla. Waziri Mkuu mstaafu Frederick Sumaye alisema hali ya utulivu ni chachu katika kukuza uchumi.
9 years ago
Mwananchi24 Sep
Lowassa atua kwa Nape, Sumaye, Tambwe wamvaa
10 years ago
Michuzi26 Dec
KUWENI NA HOFU YA MUNGU, NAYE ATASIKIA MAOMBI YENU KWA TAIFA - MH. SUMAYE:
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/123.jpg)
10 years ago
Michuzi26 Dec
FREDRICK SUMAYE: KUWENI NA HOFU YA MUNGU, NAYE ATASIKIA MAOMBI YENU KWA TAIFA
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/123.jpg)
10 years ago
Dewji Blog25 Dec
Waziri Mkuu mstaafu Frederick Sumaye awasili jijini Mbeya, tayari kwa kuongoza tamasha la Krismas
Waziri Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye akiwasili na ndege ya shirika la ndege la Fastjet kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Songwe mjini Mbeya huku akiwa ameongozana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste nchini (CPCT), Askofu David Mwasota kushoto na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama Tayari kwa kuhudhuria Tamasha la Krismas ambalo linafanyika kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya, Mh, Sumaye atakuwa mgeni rasmi katika tamasha hilo ambalo...