TAARIFA: Andrew Chenge ni nani?
>Baraza la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma leo linaanza kumhoji mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge kutokana na kutajwa kwenye sakata la uchotwaji wa fedha kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow, akiwa mmoja wa watu kadhaa watakaofika kwenye Ukumbi wa Karimjee kwa mashtaka tofauti.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-_4Z2Rnkp98c/VcSoM6GniyI/AAAAAAABTPw/9hjY2t19pgo/s72-c/chenge.jpg)
MBUNGE ANDREW CHENGE, AKIRI KUPOKEA TSH 1.6 BILIONI
![](http://3.bp.blogspot.com/-_4Z2Rnkp98c/VcSoM6GniyI/AAAAAAABTPw/9hjY2t19pgo/s400/chenge.jpg)
Pia, alihoji kama kuna tatizo kutumia taaluma yake ya sheria kuzishauri kampuni binafsi na kujipatia fedha.Chenge ambaye alitoa utetezi wake jana saa 7:30 mchana, alisema hakulipwa fedha hizo kwa sababu ni kiongozi wa umma, bali kwa kutoa ushauri.Alisema aliingia mkataba na kampuni hiyo wa kutoa ushauri...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
SAKATA LA ESCROW: ANDREW CHENGE AMEKATAA KUHOJIWA NA BARAZA LA SEKRETARIETI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA
Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi katika Bunge Maalum la Katiba (BMK) Andrew Chenge. ALIYEKUWA Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi katika Bunge Maalum la Katiba (BMK) Andrew Chenge amekataa kuhojiwa mbele ya Baraza la Sekretarieti ya Maadili ya viongozi wa umma juu ya tuhuma za kunufaika na fedha zilizotoka katika akaunti ya Tegeta Escrow, wakati alipoitika...
11 years ago
Mwananchi19 Feb
Sitta vs Chenge: Nani mwenyekiti wa kudumu Bunge la Katiba?
Miongoni mwa wanaotajwa kuwa na sifa ya kushika wadhifa huo ni Spika wa zamani wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Urambo Mashariki, Samwel Sitta.
10 years ago
GPLCHENGE, CHENGE, CHENGE TENA?
Makala: Ojuku Abraham
KAMA Mwalimu Julius Kambarage Nyerere angekuwa bado anatawala nchi hii, ni watu wachache sana wangeweza kulijua jina la Andrew Chenge, yule mwanasheria mkuu wa zamani wa serikali, aliyekaa katika ofisi hiyo kubwa na yenye heshima, kuanzia mwaka 1993 hadi 2005. Lakini katika nchi ambayo inaendeshwa kwa hila na dili, jina hili linajipatia umaarufu na kuenziwa, bila kujali ni kwa kiasi gani, Watanzania zaidi...
10 years ago
Mwananchi21 May
NANI NI NANI URAIS: Peter Mziray, Rais Mtendaji APPT-Maendeleo
Historia yake
Peter Mziray ni Rais Mtendaji wa Chama cha APPT Maendeleo, Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa na kitaaluma ni mtaalamu wa mifugo na uchumi wa kilimo.
10 years ago
Mwananchi31 May
NANI NI NANI URAIS: Fahmi Dovutwa: Mwenyekiti wa chama cha UPDP
Historia yake
Fahmi Nasoro Dovutwa ni Mwenyekiti wa kitaifa wa Chama cha United Peoples Democratic Party (UPDP). Alizaliwa Februari 27, 1957 mjini Kisarawe mkoani Pwani (Amefikisha miaka 58 Februari mwaka huu).
10 years ago
Mwananchi05 Jun
NANI NI NANI URAIS: Profesa Ibrahim Lipumba: Mwenyekiti wa CUF
Ibrahim Lipumba ni mchumi wa kimataifa na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF). Alizaliwa Juni 6, 1952 katika Kijiji cha Ilolangulu mkoani Tabora.
10 years ago
Mwananchi06 Jun
NANI NI NANI URAIS: DK Willibroad Slaa: Katibu Mkuu wa Chadema
Historia yake
Dk Willibrod Slaa ni Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Slaa alizaliwa Oktoba 29, 1948 kijijini Kwermusi, Wilaya ya Mbulu (Oktoba atafikisha umri wa miaka 67). Slaa alisoma Shule ya Msingi Kwermusi iliyoko wilayani Mbulu mwaka 1958-1961 na baadaye Shule ya Kati (Middle School) ya Karatu kati ya mwaka 1962-1965.
9 years ago
Mwananchi23 Dec
NANI NI NANI SERIKALI YA JPM?: Dk Suzan Kolimba – Naibu Waziri Mambo ya Nje
Dk Suzan Kolimba ndiye Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa katika Serikali ya Awamu ya Tano, ameteuliwa katika baraza la mwanzo la mawaziri la Rais John Magufuli, yeye hakuwa mbunge wa kuchaguliwa wala wa viti maalumu, kwa hiyo uteuzi wake katika ngazi ya unaibu waziri unamaanisha moja kwa moja kuwa Rais ameshamteua kuwa mbunge.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania