Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA KWA UMMA EWURA

  UAMUZI WA BODI YA WAKURUGENZI KUHUSU MAOMBI YA TPDC YA  TOZO ZA HUDUMA ZA KUCHAKATA NA KUSAFIRISHA GESI ASILIA 1.                  Tarehe 1 Septemba 2014, Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ilipokea ombi Na. TR-G-14-039 kutoka kwa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuhusu kanuni ya kukokotoa tozo za huduma ya kuchakata na kusafirisha Gesi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA: KUHAKIKI TAARIFA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Tunawatangazia wananchi wote waliojiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo wa BVR kujitokeza katika vituo walipojiandikisha ili wahakiki taarifa zao. Ambako daftari la mpiga kura limebandikwa. (Display)  NA.MIKOATAREHE YA KUANZATAREHE YA KUMALIZA1Njombe, Iringa,  Mtwara, Lindi, Ruvuma, Katavi, Rukwa, Mbeya, Dodoma, Singida, Tabora, Kigoma, Kagera, Simiyu, Shinyanga, Geita, Mwanza, Mara, Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Tanga na Morogoro.
07/08/201511/08/20152Pwani na...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA KUHUSIANA NA TAARIFA ZISIZO NA UKWELI DHIDI YA WASHIRIKI WA TMT 2015

Picha ya Post iliyopostiwa na Kijana ajulikanae kama Raffayel Mombury.Kampuni ya Proin Promotions Ltd ambao ni waandaaji na waendeshaji wa shindano la Kusaka vipaji vya Kuigiza lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents (TMT) ambalo linaendelea kufanyika huku washiriki watano Wakiwa washaenguliwa katika shindano hilo Kutokana na Kutokupata kura za kutosha kutoka kwa watazamaji wa Kipindi hiko mahiri kinachorushwa na kituo cha runinga cha ITV siku ya jumapili saa tatu na nusu usiku.Proin...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Vijimambo

TAARIFA KWA UMMA YA TBN

KUMUOMBA MH. RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE ASIPITISHEMUSWADA WA SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAONI, 2015Mtandao wa waandishi kupitia mitandao nchini, Tanzania Bloggers Network (TBN) tunamuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete kutumia mamlaka yake vyema kwa kutokupitisha muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao, 2015 unaokandamiza uhuru wa mawasiliano mitandaoni. 
Muswada wa sheria ya makosa ya Mtandaoni unaainisha makosa yanayohusiana na matumizi ya mfumo wa kompyuta na...

 

9 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA WATEJA WA BENKI YA NMB NA UMMA KWA UJUMLA

Katika kufikia ahadi yetu iliyopo kwenye malengona dira ya benki ya kuwa taasisi ya fedha inayopendelewa zaidi nchini kupitia mtandao mpana wa matawi unaotoa huduma kwa gharama nafuu zaidi zenye kumlenga mteja na jamii ya watanzania,Tunapenda kuwataarifu wateja wetu na umma kwa ujumla kuwa matawi yetu yote yatafungwa siku ya Alhamisi Novemba 5, 2015 ili kupisha sherehe za kitaifa za kuapishwa kwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Raisi wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Huduma...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUZIMWA KWA MTAMBO WA MAJI RUVU CHINI

Dawasco inawatangazia wakazi wote wa jiji la Dar es salaam na Mji wa Bagamoyo kuwa mtambo wa kuzalisha Maji wa Ruvu Chini utazimwa kwa wastani wa saa 48  kwa siku za Ijumaa na Jumamosi ya tarehe 28 na 29 November 2014, kuanzia saa kumi na mbili asubuhi, ili kuruhusu mkandarasi (Sino-hydro Corporation ltd) kuunganisha bomba la zamani na bomba jipya (cross-connection) katika mtambo wa Ruvu Chini eneo la Mpiji, Bagamoyo na eneo la Chuo Kikuu Ardhi (Makongo Juu) 
Kuzimwa kwa mtambo wa Ruvu Chini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani