Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA YA JOHN MNYIKA KUHUSU KUTORIDHISHWA NA HATUA ZILIZOCHUKULIWA NA WAZIRI WA MAJI

TAARIFA KWA UMMA Sijaridhishwa na hatua zilizochukuliwa na Waziri wa Maji alipofanya ziara juzi na kunukuliwa na vyombo vya habari jana. Hivyo, naomba Waziri Mkuu achukue hatua zifuatazo:Mosi, atake Wizara ya Maji impatie nakala ya ripoti ya uchunguzi kuhusu kukatikakatika mara kwa mara kwa maji katika mitambo na maeneo ambayo yanahudumiwa na mitambo ya Ruvu juu. Baada ya kupata ripoti hiyo

CHADEMA Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Hatua zilizochukuliwa na shirika la feri baada ya mama na mwana kufa maji

Hatua zimechukuliwa na shirika la feri baada ya mama na mwana kufa maji nchini Kenya.

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA NISHATI ARIDHISHWA NA HATUA ZILIZOCHUKULIWA NA TANESCO MKOANI MOROGORO KATIKA KUKABILIANA NA VIRUSI VYA CORONA


NAIBU Waziri wa Nishati Subiri Mgalu ameamua kufanya ziara ya kushtukiza katika ofisi Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO) Morogoro kwa lengo la kuuangalia kama maelezo yote ambayo yametolewa na  Serikali kwa ajili ya kujinga na maambukizi ya virusi vya COVID-19 (CORONA) kama yamezingatiwa.

Angalau amefanya ziara hiyo leo Machi 25 mwaka 2020 na akiwa kwenye ofisi hizo za TANESCO mkoani Morogoro amepata nafasi  ya kuangalia sehemu ambazo zimetengwa kwa ajili kunawa mikono kwa wateja na...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ALIELEZA BUNGE HATUA ZILIZOCHUKULIWA NA SERIKALI KUKABILIANA NA VIRUSI VYA CORONA...AGUSIA UZUSHI MTANDAONI

Na Said Mwishehe, Michuzi TV
WAZIRI Mkuu Kasim Majaliwa amelieleza Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hatua mbalimbali ambazo Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais Dkt.John Magufuli ambazo inazichukua katika kukabiliana na virusi vya Corona ambavyo vinasababisha ugonjwa wa COVID-19.
Akizungumza mchana huu Bungeni Mjini Dodoma katika mkutano wa kumi na tisa, kikao cha pili cha bajeti ya mwaka 2019/2020 Waziri Mkuu Kasim Majaliwa ametaja hatua kadhaa ambazo zimechukuliwa hadi sasa kama...

 

9 years ago

Mwananchi

Hatua zilizochukuliwa TRA ziwe mfano kwa wengine

Juzi, Rais John Magufuli alimsimamisha kazi Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Rished Bade baada ya kubaini ‘madudu’ katika ofisi za mamlaka hiyo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Obama asema hatua zilizochukuliwa na Trump ni kama 'janga la machafuko'

Rais wa zamani wa Marekani Barack Obam amemkosoa vikali Rais Donald Trump kwa namna anavyoshughulikia janga la corona.

 

10 years ago

Michuzi

HATUA ZA HARAKA ZILIZOCHUKULIWA NA SERIKALI KATIKA KUKABILI MAAFA YALIYOSABABISHWA NA MAFURIKO WILAYANI KAHAMA, MKOA WA SHINYANGA

Kufuatia mvua kubwa zilizonyesha usiku wa tarehe 04 Machi, 2015 Wilayani Kahama mafuriko makubwa yalitokea na kuathiri wakazi wa kata ya Mwakata katika vijiji vya Mwakata, Numbi na Mwaguguma.

Kutokana na mafuriko yaliyotokea tathmini ya awali inaonesha kuwa watu 42 wamepoteza maisha, watu 82 wamejeruhiwa na watu wanaokadiriwa kufikia 574 wameathirika. Jumla ya nyumba 137 zimeathirika kwa viwango mbalimbali.

Hatua zilizochukuliwa

Serikali imechukua hatua za haraka kwa kushirikiana na wananchi...

 

5 years ago

Michuzi

BALOZI DK.ASHA-ROSE MIGORO APONGEZA HATUA ZILIZOCHUKULIWA NA RAIS MAGUFULI KATIKA KUKABILIANA NA MAAMBUKIZI YA CORONA

*Agusia athari za Lockdown zilizoanza kujitokeza nchini Uigereza

 Na Said Mwishehe, Michuzi TV

BALOZI wa Tanzania nchini Uingereza Dk.Asha-Rose Migiro amepongeza hatua ambazo zimechukuliwa na Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais Dk.John Magufuli katika kukabiliana na virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa Covid-19 ikiwemo ya kutoweka nchi kwenye 'Lockdown'.

Dk.Migiro amesema katika kukabiliana na Corona kila nchi iliamua kuchukua hatua kulingana na mazingira yake huku akifafafanua kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

HATUA ZA HARAKA ZILIZOCHUKULIWA NA SERIKALI KATIKA KUKABILI MAAFA YALIYOSABABISHWA NA MAFURIKO WILAYANI KAHAMA, MKOA WA SHINYANGA

Katibu Mkuu,Ofisi ya Waziri Mkuu Florens Turuka
-JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAOFISI YA WAZIRI MKUUKufuatia mvua kubwa zilizonyesha usiku wa tarehe 04 Machi, 2015 Wilayani Kahama mafuriko makubwa yalitokea na kuathiri wakazi wa kata ya Mwakata katika vijiji vya Mwakata, Numbi na Mwaguguma.
Kutokana na mafuriko yaliyotokea tathmini ya awali inaonesha kuwa watu 42 wamepoteza maisha, watu 82 wamejeruhiwa na watu wanaokadiriwa kufikia 574 wameathirika. Jumla ya nyumba 137 zimeathirika kwa viwango...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani