Taarifa zaidi ya Vijana waandamana Dar kumtaka Dk. Slaa
Kikosi cha Kutuliza Ghasia FFU kimelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya baadhi ya vijana wanaodaiwa kuwa ni wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA waliofanya maandamano yasiyo rasmi maeneo ya Biafla na Kinondoni jijini Dar es Salaam wakiimba nyimbo za kumtaka Dokta Wilbroad Slaa kurudi katika Chama hicho.
Vijana hao wanadai kuwa wanaunga mkono hotuba ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dokta Wilbroad Slaa aliyoitoa jana jijini Dar es Salaam katika mkutano wake na...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania23 Mar
Vijana wafurika kwa Lowassa kumtaka agombee urais
Na Fredy Azzah, Dodoma
VIJANA zaidi ya 300 ambao ni wawakilishi wa wanafunzi wa vyuo vikuu mkoani Dodoma, waendesha bodaboda na wamachinga, wamefika nyumbani kwa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kumtaka agombee urais.
Vijana hao walifika nyumbani kwa Lowassa eneo la Area C saa 5.00 wakitembea kwa miguu wakiongozwa na bodaboda.
Baadhi yao walikuwa wamebeba mabango yaliyokuwa na ujumbe tofauti ukiwamo“4U Movement, wanavyuo, Chuo Kikuu Dodoma, Shule za Kata ni vielezo vya uchapakazi wako,...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-WjpyqOgTsEs/VLpttFvXPGI/AAAAAAAAIEE/Zgv7SvYM2ls/s72-c/shaka.jpg)
TAARIFA YA UMOJA WA VIJANA WA CCM ( UVCCM) MAKAO MAKUU DAR ES SAALAM
![](http://3.bp.blogspot.com/-WjpyqOgTsEs/VLpttFvXPGI/AAAAAAAAIEE/Zgv7SvYM2ls/s1600/shaka.jpg)
10 years ago
BBCSwahili11 Jan
Zaidi ya milioni waandamana Ufaransa
10 years ago
Mtanzania18 Dec
Vijana waliopata mafunzo JKT waandamana
Na Asifiwe George, Dar es Salaam,
VIJANA zaidi ya 300 waliopata mafunzo kupitia Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), wameandamana kwenda Ikulu kumwona Rais Jakaya Kikwete ili asikilize kilio chao na kupinga upendeleo wa ajira ndani ya jeshi.
Maandamano hayo yalifanyika jijini Dar es Salaam jana kwa saa mbili asubuhi kwa vijana hao kujikusanya katika eneo la Jangwani huku wakiwa wameshika bendera nyekundu kupita barabara ya Morogoro, Umoja wa Mataifa hadi Taasisi ya Taifa ya Utafiti...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Ap7xMJ_Wsv4/XmEwAWmsqzI/AAAAAAACDnw/L4LxrGv9usgoSfWdtWb_-wFzwuT3NbCNwCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200305-WA0028.jpg)
Wafanyakazi zaidi ya 50 hoteli ya kitalii Ngurdoto waandamana kwa DC Arumeru wakidai malipo yao
![](https://1.bp.blogspot.com/-Ap7xMJ_Wsv4/XmEwAWmsqzI/AAAAAAACDnw/L4LxrGv9usgoSfWdtWb_-wFzwuT3NbCNwCLcBGAsYHQ/s640/IMG-20200305-WA0028.jpg)
Wakiongea mbele ya Mkuu huyo wa wilaya wamedai kuwa pamoja na kutolipwa mishahara yao ,wanadai makato ya mfuko wa kijamii wa nssf yamekuwa hayapelekwi na kupatà usumbufu mkubwa wanapoacha ama kuachishwa kazi .
Madai mengine ni wafanyakazi wa...
10 years ago
MichuziWATU ZAIDI YA 700 WAANDAMANA KWENDA KWA LOWASA KUMSHAWISHI ATANGAZE NIA YA KUGOMBEA URAIS 2015
Katibu wa Chama cha Wasioona Mkoa wa Kilimanjaro (TLB), Protas Soka Akisoma risala kwa niaba ya makundi hayo mbele ya mbunge wa jimbo la monduli
10 years ago
Dewji Blog15 Mar
Watu zaidi ya 700 waandamana kwenda kwa Lowassa kumshawishi atangaze nia ya kugombea Urais 2015
Makundi mbalimbali ya kijamii ya mikoa ya Kaskazini, inayojumuisha mikoa ya Kilimanjaro, Tanga, Arusha na Manyara wakiwa wanaandamana kwa pamoja kuelekea kwa mbunge wa jimbo la Monduli hii leo.
![SAM_4318](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/03/SAM_4318.jpg)
Katibu wa Chama cha Wasioona Mkoa wa Kilimanjaro (TLB), Protas Soka akisoma risala kwa niaba ya makundi hayo mbele ya mbunge wa jimbo la Monduli.
![SAM_4337](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/03/SAM_4337.jpg)
Viongozi mbalimbali wa makundi ya kijamii wakiwa wanamkabidhi Waziri Mstaafu ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Monduli Edward Lowasa bahasha...
10 years ago
GPLWALEMAVU WAANDAMANA NA KUFUNGA BARABARA JIJINI DAR
10 years ago
MichuziVIJANA WAFURIKA BANDA LA TBL MAONESHO YA AJIRA KWA VIJANA DAR