Taasisi 1,200 duniani zampa tuzo ya amani Edward Lowassa
Taasisi 1,200 duniani zitampa aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa Tuzo ya Amani kutokana na utulivu aliouonyesha kabla na baada ya Uchaguzi Mkuu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi20 Dec
Tuzo ya amani imewaumbua CCM-Lowassa
10 years ago
Michuzi07 Dec
Kanusho Kutoka Ofisi ya Mbunge na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa Kuhusu Uvumi Uliozagaa Kwenye Mitandao Mbalimbali ya Kijamii Kuwa Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Edward Lowassa Kulazwa nchini Ujerumani.
![](https://3.bp.blogspot.com/-oJh2Cn9yQak/VINKdRvDW8I/AAAAAAADJj4/0uJNUkCOwzk/s1600/28138-mmg24051.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-qHcmC4yyDpE/VINK3s8Ur5I/AAAAAAADJkI/sMkDVFsuX7A/s1600/l1.jpg)
Taarifa zilizoenea zinaeleza kuwa Lowassa, ambaye wakati wote wa Mkutano wa 15/16 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano uliofanyika kwa wiki tatu, hakuwepo bungeni, amekuwa...
9 years ago
CHADEMA Blog![](http://4.bp.blogspot.com/-au3Cp1u7Xqo/Vi0CI8mQlMI/AAAAAAAAW-g/vC3Sq13nhn0/s72-c/2X6A0449.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/LYEXafQ5n18/default.jpg)
10 years ago
BBCSwahili05 Aug
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ykZ*wTWqMzZui*mwIzYxYrBt2FwoBeh3UrZ6IRfePR15VXXnPkEX8bXFWV5-wkCm5eLZCZsCgjrAzUPPf71ctCBAp59hw0HC/11873760_542876332530104_4267297692721790481_n.jpg?width=750)
10 years ago
Mwananchi11 Jul
10 years ago
Vijimambo25 Jun
Kambi ya Edward Lowassa yatikiswa.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Lowassa-25June2015.jpg)
Tukio hilo lilitokea saa 4:45 usiku wa kuamkia jana.
Manga ambaye pia ni mfanyabiashara maarufu wa Tanzanite huko Mirerani, mkoani humu ni mmoja kati ya marafiki wakubwa wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, ambaye ametangaza nia ya kuomba ridhaa ya CCM kumteua kuwa...
9 years ago
Mtanzania04 Jan
Bulembo amvaa Edward Lowassa
Na Ruth Mnkeni, Dar es Salaam
MWENYEKITI Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Bulembo, amemtaka aliyekuwa mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowasa, kuwataja hadharani wafanyabiashara waliokuwa wanasaidia Ukawa kutozwa kodi kubwa.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Bulembo alisema kauli ya Lowassa inalengo la kuigombanisha Serikali na wafanyabiashara, hivyo ni vyema akawataja hadharani ili kuondoa utata...