Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Taasisi ya Shulesoft yaanza kutoa elimu kwanjia ya mtandao, wanafunzi kusoma wakiwa nyumbani bila gharama

Mkurugenzi Mkuu wa shulesoft, Efraim Swilla akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam wakati wa kutamburisha huduma ya bure kwa wanafunzi wa shule za awali, shule za msingi pamoja na shule za sekondari kwaajili ya kujisomea notes(waraka) wakiwa nyumbani kwa kipindi hiki ambacho wamefunga shule kwaajili ya ongezeko la mripuko wa virusi vya COVID 19.
Na Avila Kakingo, globu ya jamiiTAASISI isiyo ya kiserikali ya Shulesoft hapa nchini yaanza kutoa elimu kwanjia ya mtandao ili...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Taasisi ya ShuleSoft inakuletea Rudi Shule na ShuleSoft

 Mkurugenzi Mkuu wa ShuleSoft, Ephraim Swilla akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa kutambulisha wanafunzi, wamiliki wa shule pamoja na wazazi kurudi shule na shuleSoft ili kuendelea kutumia mifumo ya Kidijitali kujipatia elimu na kuendesha mifumo mbalimbali ya shule bila usumbufu.Mkurugenzi Mkuu wa ShuleSoft, Ephraim  Swilla akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo (June 26,2020) wakati akitambulisha kurudi shule na shuleSoft shule...

 

9 years ago

Mwananchi

Hospitali ya Amana yaanza kutoa huduma kwa njia ya mtandao

Ili kudhibiti upotevu wa mapato na kuboresha huduma, Hospitali ya Wilaya ya Ilala Amana, imeanza kutoa huduma zake kwa njia ya mtandao kuanzia kujisajili hadi mgonjwa anapolipia gharama za matibabu.

 

10 years ago

Mwananchi

Taasisi 12 zanyimwa fursa kutoa elimu ya Katiba

Ofisi za wabunge na vyama vya siasa ni miongoni mwa asasi 12 zilizonyimwa fursa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kutoa elimu ya uraia kwa mpigakura kuhusu Katiba Inayopendekezwa.

 

11 years ago

Michuzi

Waziri Makame azindua Mtandao wa Kuunganisha Taasisi za Elimu ya Juu na Utafiti

Mhe. Prof. Makame Mbarawa, Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia ( mwenye mkasi) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mtandao wa Kuunganisha Taasisi za Elimu ya Juu na Utafiti nchini. Anayeshuhudia ni Prof. Tolly Mbwete, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Tanzania na mwakilishi wa Benki ya Dunia, Tanzania.
Mtandao huo umeunganisha Taasisi za Elimu ya Juu na Utafiti 22 nchini ambapo Vyuo Vikuu mbalimbali nchini vinaweza kuwasiliana, kutoa huduma ya elimu mtandao, maktaba mtandao,...

 

11 years ago

Michuzi

Wananchama wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu, Sayansi, Teknolojia, Habari na Utafiti nchini (RAAWU), Tawi la Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) wakutana

Wananchama wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu, Sayansi, Teknolojia, Habari na Utafiti nchini (RAAWU), Tawi la Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) wamekutana kwa semina ya siku mbili mwishoni mwa wiki iliyopita kupitia pamoja na mambo mengine; masuala ya nafasi na wajibu wa kisheria wa vyama vya wafanyakazi katika kuleta tija na ufanisi sehemu za kazi.   Akifungua semina hiyo ya siku mbili kwa wanachama wa RAAWU tawi la HESLB, Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

TAASISI YA KILAWA ENTERPRISES YAJIKITA KUTOA ELIMU KWA WAKULIMA

Afisa Masoko wa Kilawa Enterprises, Award Mpandila akitoa maelekezo kwa wakulima waliotembelea banda lao.Afisa Masoko wa Kilawa Enterprises, Award Mpandila akigawa vipeperushi kwa wakulima waliotembelea banda lao.Mkulima Japhet Kihupi akitoa maelezo kwa wakulima wenzake waliofika kutembelea shamba darasa linalosimamiwa na Kilawa Enterprises.Mkurugenzi wa Kilawa Enterprises, Tito Tweve akifuatilia kwa makini mafunzo ya wakulima katika shamba darasa.Mtaalam wa kilimo cha Mpunga, Sabiti Njovu...

 

11 years ago

Ykileo

USALAMA MTANDAO NA NAFASI YA VYOMBO VYA HABARI KATIKA KUTOA ELIMU.

Hali ya usalama mtandao ni dhahiri bado jitihada za dhati zinahitajika ili kuweza kuleta mabadiliko na kupata Tanzania salama kimtandao, Afrika na dunia kiujumla. Ili kuleta mabadiliko chanya jukumu la kutoa elimu halipaswi kubaki kwa mtu mmoja au kundii Fulani la watu bali ni lazima kuwe na kuunganisha nguvu ya pamoja kutoka katika kila mtu mmoja mmoja.


Miongoni mwa jitihada zinaonekana kwa vyombo vya habari na makundi mbali mbali nchini Tanzania kuanza kuona umuhimu wa maswala ya ulinzi...

 

10 years ago

Mtanzania

Dude kutoa elimu zaidi kwa wanafunzi

dudeNA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
MWIGIZAJI wa filamu za Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’, amesema yeye kama kioo cha jamii hana budi kutumia muda wake kuelimisha wanafunzi ili waweze kufanya vizuri katika masomo yao.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Dude alisema amekuwa akiwahamasisha wanafunzi, kupitia zawadi kama madaftari, vitabu, viatu hata sare za shule.
“Kama unavyojua mtoto unapompatia zawadi na kumuahidi mambo mazuri, lazima atajitahidi, nitaendelea kutembelea shule mbalimbali kuhamasisha...

 

9 years ago

Dewji Blog

Serikali yaendelea kutoa elimu ya Sheria ya makosa ya mtandao kwa Maafisa Habari

9

Mkurugenzi msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO) Bi Zamaradi Kawawa akifurahia jambo na Mkuu wa Masuala ya Siasa na Habari wa Umoja wa nchi za Ulaya (EU) nchini Tanzania  Bi Luana Reale wakati wa warsha ya Maafisa Mawasiliano Serikalini kuhusu Sheria ya makosa ya mtandao ya mwaka 2015 (cybercrime Act 2015. iliyofanyika jana Jijini Dar es salaam.(Picha zote na Frank Mvungi-Maelezo).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani