Taasisi ya ShuleSoft inakuletea Rudi Shule na ShuleSoft
![](https://1.bp.blogspot.com/-FDfkNrFrR28/XvX6spBJHqI/AAAAAAALvlE/FXHo4AJr2YIgyQtr5QAHjJr66JQDXJlPgCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-26%2Bat%2B4.01.03%2BPM.jpeg)
Mkurugenzi Mkuu wa ShuleSoft, Ephraim Swilla akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa kutambulisha wanafunzi, wamiliki wa shule pamoja na wazazi kurudi shule na shuleSoft ili kuendelea kutumia mifumo ya Kidijitali kujipatia elimu na kuendesha mifumo mbalimbali ya shule bila usumbufu.
Mkurugenzi Mkuu wa ShuleSoft, Ephraim Swilla akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo (June 26,2020) wakati akitambulisha kurudi shule na shuleSoft shule...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-f-rrw06VwGY/XntjW9AtcvI/AAAAAAALlAc/ITmSc2hIno4lK08iSUxlbSxUtcgpoxyIACLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-25%2Bat%2B12.38.45%2BPM.jpeg)
Taasisi ya Shulesoft yaanza kutoa elimu kwanjia ya mtandao, wanafunzi kusoma wakiwa nyumbani bila gharama
![](https://1.bp.blogspot.com/-f-rrw06VwGY/XntjW9AtcvI/AAAAAAALlAc/ITmSc2hIno4lK08iSUxlbSxUtcgpoxyIACLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-25%2Bat%2B12.38.45%2BPM.jpeg)
Na Avila Kakingo, globu ya jamiiTAASISI isiyo ya kiserikali ya Shulesoft hapa nchini yaanza kutoa elimu kwanjia ya mtandao ili...
10 years ago
GPLSHULE MBALIMBALI DAR KUSAIDIWA NA TAASISI YA SVF
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-X9CqCRVxncI/XkoKlmZc7dI/AAAAAAALdpw/8zxcDvP9Vq0Fv68vSgAOtolLwz5rfne_gCLcBGAsYHQ/s72-c/0e2b3d39-aae4-485a-b5d3-3966adc90707.jpg)
Taasisi ya Jangwani to Forest Movement yapanda miti 50 katika Shule mbili
Na Chalila Kibuda,Michuzi Globu.
Wanafunzi wakipata elimu ya utuzaji wa Mazingira ni hazina ya taifa katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.
Hayo aliyasema Mwasisi wa Jangwani to Forest Movement Verdiana Nsongo wakati wa upandaji wa miti katika Shule za Msingi za Msisiri na Kinondoni zilizopo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Amesema kuwa misingi bora ya utunzaji mazingira ni kutoa elimu kwa wanafunzi kuanzia katika maeneo yao shule ambapo wanaoweza kwenda kutoa elimu katika...
10 years ago
Michuzi13 Nov
TAASISI YA STARKEY HEARING FOUNDATION YAKABIDHI MADARASA MATATU SHULE YA MSINGI YA LOIBORSOIT
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/11/129.jpg)
![2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/11/217.jpg)
![3](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/11/313.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/B0nkfg_AUdI/default.jpg)
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/--TOisSYoLvo/Xs-nEIDkKXI/AAAAAAAC6N4/EisyHqAXe0oxffXYdXlRQfhC0PANvIKowCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
MWONGOZO WA UDHIBITI WA MAAMBUKIZI YA UGONJWA WA (CORONA COVID-19) KATIKA SHULE, VYUO NA TAASISI ZA ELIMU NCHINI
![](https://1.bp.blogspot.com/--TOisSYoLvo/Xs-nEIDkKXI/AAAAAAAC6N4/EisyHqAXe0oxffXYdXlRQfhC0PANvIKowCLcBGAsYHQ/s400/1.jpg)
Hatua zilizochukuliwa ni pamoja na kufunga shule zote za Awali, Msingi, Sekondari, Vyuo na taasisi za elimu nchini. Kutokana na takwimu za mwenendo wa ugonjwa huu nchini kwa sasa kuonyesha kupungua kwa maambukizi ya Virusi vya Corona, mnamo...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-I2_N3OiFvqU/XutFCHjJR-I/AAAAAAALuaU/IfUMSiRM9DghUgZKND1yveXhK_bLNuuwgCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-18%2Bat%2B12.21.19%2BPM.jpeg)
WAZIRI JAFO AIPONGEZA TAASISI YA DK MSUYA FOUNDATION KWA KUKARABATI SAMANI ZA SHULE YA SEKONDARI IBIHWA
Charles James, Michuzi TV
UZALENDO! Ndio kauli ambayo Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Tamisemi, Selemani Jafo ameitumia kuipongeza Taasisi ya Dk Msuya Foundation kwa kuwezesha kusaidia ukarabati samani za Shule ya Sekondari Ibihwa iliyopo wilayani Bahi, Dodoma.
Waziri Jafo ameipongeza taasisi hiyo inayoongozwa na Dk Ombeni Msuya kwa moyo wao wa kizalendo uliowezesha ukarabati huo wa Viti 76 na Meza 45 kwenye shule hiyo ikiwa ni kuunga mkono juhudi za serikali za kuinua elimu nchini.
Akizungumza...
10 years ago
GPL18 Jun
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-VKQ7SWoGfws/UxWA1cDxofI/AAAAAAAFQ_4/TkHMpYEH97A/s72-c/IMG-20140228-WA0013.jpg)
Taasisi ya Farida Foundation yawawezesha wanafunzi wenye mtindio wa ubongo shule ya msingi Tabata jijini Dar
![](http://4.bp.blogspot.com/-VKQ7SWoGfws/UxWA1cDxofI/AAAAAAAFQ_4/TkHMpYEH97A/s1600/IMG-20140228-WA0013.jpg)