Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Taasisi za fedha zapewa somo

TAASISI za kifedha zinazojihusisha na utoaji wa mikopo kwa wajasiriamali nchini, zimetakiwa kuacha mfumo wa kuwakandamiza wanachama wake kwa riba kubwa, kwa madai kuwa  zinachangia kudumaza  shughuli za kiuchumi na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Taasisi za usalama EAC zapewa somo

TAASISI za usalama za nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, (EAC), zimetakiwa kufanya kazi kwa kushirikiana huku wakitumia mfumo wa kisasa wa sayansi na teknolojia katika kupeleleza, ili kudhibiti matukio...

 

10 years ago

BBCSwahili

Benki za Ugiriki zapewa fedha za dharura

Benki ya Ulaya imekubali kuidhinisha fedha zaidi za hali ya dharura kwa benki za Ugiriki.

 

5 years ago

Michuzi

DC ZAINABU KAWAWA AWAPA SOMO TASAF KUSIMAMIA FEDHA ZINAZOTOLEWA KWA KAYA MASIKINI

 Baadhi ya wazee wa Kata ya Nia njema Wilayani Bagamoyo wakiwa wanasikiliza Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo katika mkutano huo wa hadhara ambao ulihudhuliwa na wadau mbali mbali wa maendeleo pamoja na viongozi wa serikalia na wakuu wa Idara.Mkuu wa kituo cha Polisi Bagamoyo Michael Kakoshi licha ya kulinda hali ya usalama katika eneo hilo la mkutano wa adhara akiwa anasikiliza changamoto mbali mbali ambazo zilikuwa zikitolewa na wananchi wa kata hiyo ya nia njema.Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo...

 

9 years ago

Dewji Blog

Taasisi za fedha ziwezeshe wajasiriamali wadogo

DSC01368

Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone, akikagua vyungu vilivyotengenezwa na wajasiriamali wa wilaya ya Iramba ambao wanashiriki maonesho ya 12 ya SIDO kanda ya kati yanayoendelea mjini Singida.

DSC01338

Afisa Mwanadaamizi wa Masoko wa Shirika la viwango (TBS), Gladness Kaseka (kushoto) akimpa maelezo Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone, juu ya shughuli zinazofanywa na shirika hilo. Dk.Kone alikuwa akikagua mabanda ya wajasiriamali na taasisi mbalimbali wanaoshiriki maonesho ya bidhaa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbunge ataka taasisi za fedha zichunguzwe

MBUNGE wa Viti Maalumu, Cecilia Pareso (CHADEMA), ameitaka serikali kuzichunguza taasisi za kifedha zinazotoa mikopo kwa riba kubwa ikiwa ni pamoja na taasisi ya kifedha ya Bayport. Pareso alitoa pendekezo...

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Nagu azitaka taasisi za fedha kuacha ukiritimba

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk Mary Nagu amezitaka taasisi za fedha kuacha ukiritimba na rushwa katika utoaji wa mikopo kwa wajasiriamali wadogo na wa kati.

 

10 years ago

Michuzi

Serikali, TPSF watoa changamoto kwa taasisi za fedha nchini


 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dkt. Mary Nagu (katikati) akiingia katika kongamano la majadiliano kuhusu changamoto za kufikika kwa huduma za fedha kwa wajasiriamali wadogo na wa kati Tanzania jijini Dar es Salaam Jumanne wiki hii.  Wengine ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Biashara la Taifa (TNBC), Bw. Raymond Mbilinyi (kushoto) na  Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Bw. Godfrey Simbeye (Kulia).  Kongamano hilo lilitayarishwa na...

 

10 years ago

Michuzi

WANAWAKE WATAKIWA KUJIUNGA TAASISI ZA FEDHA ZENYE MASHARTI NAFUU YA MIKOPO

Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiWANAWAKE wametakiwa kujiunga katika taasisi za fedha ambazo zinaainisha mikopo ya wajasiriamali hiyo itasaidia wanawake kujikwamua na umasikini.
Hayo ameyasema leo Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto,Sophia Simba wakati wa uzinduzi wa mpango Fanikisha Plus  wa wajasirimali unaondeshwa na benki ya Equity iliyofanyika leo katika ukumbi JB,Belmote jijini Dar es Salaam.
Sophia amesema wanawake umefika wakati kutumia fursa ambazo taasisi za fedha zenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani