Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Taasisi za usalama EAC zapewa somo

TAASISI za usalama za nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, (EAC), zimetakiwa kufanya kazi kwa kushirikiana huku wakitumia mfumo wa kisasa wa sayansi na teknolojia katika kupeleleza, ili kudhibiti matukio...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Taasisi za fedha zapewa somo

TAASISI za kifedha zinazojihusisha na utoaji wa mikopo kwa wajasiriamali nchini, zimetakiwa kuacha mfumo wa kuwakandamiza wanachama wake kwa riba kubwa, kwa madai kuwa  zinachangia kudumaza  shughuli za kiuchumi na...

 

10 years ago

Habarileo

Katibu Mkuu EAC awapa somo wahandisi

KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Dk Richard Sezibera amewataka wahandisi wa nchi wanachama, kuhakikisha wanatumia taaluma yao kuboresha maisha ya wananchi wa vijijini kwa kutengeneza miundombinu ya umeme wa nishati ya jua kwa bei nafuu na kuwapatia maji safi na salama.

 

10 years ago

Michuzi

TAASISI ZA ULINZI NA USALAMA ZAPATIWA MAFUNZO

Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi Major General G.S Milanzi kulia akiongea na Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Helmas Mwansoko kushoto kabla ya Prof. Mwansoko kutoa Mhadhara juu ya Utamaduni unavyochangia katika usalama na ulinzi wa Nchi kwa Viongozi wa Ulinzi na usalama wa ndani na nje ya nchi pamoja na Taasisi za umma.Mhadhara huo umefanyika jijini Dar es Salaam leo. Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni ...

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA TAASISI YA USALAMA WA CHAKULA YA UBELGIJI

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Usalama wa Chakula ya Ubelgiji Bwana. Pierre Nassens ( wa pili kutoka kushoto). Balozi Kamala ametembelea taasisi hiyo leo Brussels kushauriana nayo  jinsi inavyoweza kushirikiana na Tanzania. Wengine katika picha ni wataalamu katika taasisi hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Maendeleo,Haki na Usawa: Nyenzo za usalama, amani EAC

>Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), zinakabiliwa na changamoto mbalimbali katika jitihada za kujenga, kulinda na kudumisha za Amani na Usalama.

 

10 years ago

Michuzi

JESHI LA MAGEREZA LAIBUKA MSHINDI WA JUMLA MAONESHO YA WAKULIMA NANE NANE KIKANDA TAASISI ZA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA

Mkuu wa Magereza Mkoani Dodoma, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, Antonino Kilumbi akiwa ameshika vikombe vya ushindi katika Maonesho ya Nane Nane Kanda ya Kati kwa Mwaka 2015. Wengine ni Maafisa Washiriki wa Jeshi la Magereza wa Maonesho ya Wakulima ya Nane Nane Kanda ya Kati, Dodoma.
Jeshi la Magereza nchini limeibuka Mshindi wa kwanza kwa upande wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama katika Maonesho ya Nane Nane yaliyofanyika katika Kanda ya Kasikazini(Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na...

 

9 years ago

Habarileo

Azaki zapewa mwongozo kiutendaji

ASASI za Kiraia (Azaki) zinazojishughulisha na kuhamasisha utoaji elimu wa masuala mbalimbali katika halmashauri ya wilaya ya Shinyanga, zimeshauriwa zinapotaka kufanya shughuli zao waonane kwanza na wakuu wa idara husika.

 

9 years ago

Mwananchi

Yanga, Azam zapewa mchekea

Wawakilishi wa Tanzania, Yanga na Azam zimepangiwa timu zenye viwango tofauti mashindano hayo ya klabu Afrika mwakani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani