Azaki zapewa mwongozo kiutendaji
ASASI za Kiraia (Azaki) zinazojishughulisha na kuhamasisha utoaji elimu wa masuala mbalimbali katika halmashauri ya wilaya ya Shinyanga, zimeshauriwa zinapotaka kufanya shughuli zao waonane kwanza na wakuu wa idara husika.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima22 Apr
TPA yajivunia mafanikio kiutendaji
LICHA ya kuwa na changamoto mbalimbali katika Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) lakini pia kuna mafanikio ya ongezeko la shehena. Ongezeko hilo linatokana na kukua kwa uchumi katika nchi...
10 years ago
Dewji Blog10 Dec
Mabloga watakiwa kubadilika kiutendaji
Afisa Mfuko wa vyombo vya habari Tanzania (TMF), Dustan Kamanzi, akitoa ufafanuzi juu ya uandishi bora katika mitandao ya kijamii (blogs), kwa baadhi ya waandishi wa habari hapa nchini.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Dar es Salaam
WAANDISHI wa habari wa mitandao ya kijamii (blogs) nchini, wameshauriwa kubadilika na kuanza kuandika habari fupi, zilizoshiba na zilizozingatia maadili ya tasnia ya habari ambazo zitawavutia na kuwachokoza wasomaji kuweza kuchangia mawazo yao.
Wito...
11 years ago
Tanzania Daima19 Jun
Azaki zapongewa na kupewa changamoto
ASASI za kiraia nchini (Azaki) zimepongezwa kwa kazi nzuri ya utoaji elimu kwa Watanzania kuhusu masuala mbalimbali ikiwemo mchakato wa katiba mpya. Pongezi hizo zilitolewa na Naibu Spika wa Bunge,...
10 years ago
TheCitizen09 Sep
Azaki manifesto to guide politicians
11 years ago
Tanzania Daima05 Jan
Azaki yapata wawakilishi wa Bunge la Katiba
WILAYA ya Mvomero imempata mmoja wa wagombea wa uwakilishi wa Bunge Maalumu la Katiba, ambapo jina hilo litapelekwa kwa Rais Jakaya Kikwete kwa ajili ya uteuzi wa wabunge 20 wa...
11 years ago
Habarileo26 Feb
Azaki kusambaza elimu ya rasimu ya Katiba
MUUNGANO wa Asasi za Kiraia nchini (AZAKI) umezindua kampeni ya kitaifa ya kusambaza uelewa wa rasimu ya pili ya Katiba kwa wananchi. Muungano huo umewataka wabunge wa Bunge la Katiba, kutokiuka maoni yaliyotolewa na wananchi.
10 years ago
MichuziBENKI YA TIB YASAINI MKATABA WA KIUTENDAJI NA SERIKALI
10 years ago
StarTV04 Mar
Udhibiti matumizi fedha za umma, halmashauri kushindanishwa kiutendaji.
Na Gloria Matola,
Dar es Salaam.
Serikali inatarajia kuanza utaratibu mpya wa kuzishindanisha Halmashauri zote nchini kiutendaji ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mkakati wake wa kuondoa matumizi mabaya ya fedha za umma kwa kutoa tuzo kwa zile zitakazoshinda kwa matumizi mazuri ya fedha hizo.
Tanzania ina jumla ya Halmashauri 168 zilizoshiriki ambapo 49 miongoni mwao zimeweza kukidhi mahitaji ya shindano hilo.
Waziri wa nchi ofisi ya Rais, Utumishi Hawa Ghasia amesema hivi sasa...
10 years ago
Habarileo16 Jan
Azaki zataka maandalizi Malengo mapya ya Milenia
ASASI za kiraia nchini (AZAKI) zimeiomba serikali kuongeza juhudi katika kuelimisha wananchi juu ya Malengo Endelevu ya Maendeleo (SDG’S), yanayotarajiwa kuanza kutekelezwa kuanzia mwaka 2016 hadi 2030.