Taboa yaonya ajali kuzidi kutikisa nchi
Chama cha wamiliki wa mabasi (Taboa),kimeonya ajali kuendelea kutikisa nchi, kama Trafiki hawatazinduka na kudhibiti uchakachuaji katika utoaji wa leseni daraja C kwa madereva wa mabasi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo17 Nov
Samia ataka nchi kuzidi kuombewa
MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania ina utajiri mkubwa unaoangaliwa na watu wa mataifa mbalimbali hivyo kuwaomba viongozi wa dini kuwaombea ili wapate viongozi watakaouangalia utajiri wa Tanzania kwa ajili ya Watanzania wenyewe.
11 years ago
Mwananchi22 Jan
Chadema kutikisa nchi; Helikopta tatu kurushwa nchi nzima
11 years ago
Tanzania Daima24 Oct
Tanzania kuzidi kufaidika na Lions Clubs
KLABU ya Lions International na wadau wengine wanatarajia kukusanya jumla ya dola milioni 60 za Marekani ifikapo mwaka 2017, ili kuimarisha kampeni ya chanjo ya surua na rubella barani Afrika,...
10 years ago
Mwananchi28 Jun
Muziki una faida kuzidi dansi na starehe
11 years ago
Tanzania Daima13 Dec
SUMATRA yaipa somo TABOA
BARAZA Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), limetoa wito kwa Chama cha Wamiliki wa Mabasi Nchini (TABOA) kuhakikisha madereva wanaacha tabia ya kuendesha...
11 years ago
Tanzania Daima09 Jan
TABOA: Serikali iruhusu huduma saa 24
CHAMA cha Wasafirishaji Abiria mikoani na nchi jirani (TABOA), kimeshauri serikali kuruhusu mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani kusafirisha abiria saa 24. Mwenyekiti mstaafu wa chama hicho, Mohammed Abdullah, alieleza...