Samia ataka nchi kuzidi kuombewa
MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania ina utajiri mkubwa unaoangaliwa na watu wa mataifa mbalimbali hivyo kuwaomba viongozi wa dini kuwaombea ili wapate viongozi watakaouangalia utajiri wa Tanzania kwa ajili ya Watanzania wenyewe.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi02 Nov
Taboa yaonya ajali kuzidi kutikisa nchi
9 years ago
Habarileo09 Nov
Samia ataka Zanzibar iombewe kupata mwafaka
MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan amewaomba viongozi wa dini kuiombea Zanzibar ili dosari zilizojitokeza wakati wa Uchaguzi Mkuu zipatiwe mwafaka wa kiungwana.
9 years ago
Mtanzania22 Sep
Samia: Hatuwapi wapinzani nchi
NA SARAH MOSSI, MKINGA
MGOMBEA mwenza wa urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amesema chama hicho hakiwezi kutoa nchi kwa chama cha upinzani ambacho hakijajipanga.
Samia, alisema hayo jana wilayani hapa wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika eneo la Duga Maforoni na kuhudhuriwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga, Henry Shekifu na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya chama hicho (NEC), Mahadhi Juma Maalim.
Alisema wapinzani hawakujipanga kuongoza nchi, na kwamba hata wakati...
9 years ago
Global Publishers23 Dec
Magufuli kuombewa Uingereza
Rais John Pombe Magufuli.
Na Gabriel Ng’osha
KASI ya Rais John Pombe Magufuli ‘JPM’ inazidi kuwashangaza wengi ambapo wachungaji wa Kanisa la Calvary Charismatic Baptist Church Swahili Service la jijini London, Uingereza wameamua kumfanyia maombi maalumu Jumatatu ijayo.
Maombi hayo yamepangwa kufanyika katika kanisa hilo lililopo 119 East India, Dock Road Poplar London EI46DE, huku mgeni rasmi akitarajiwa kuwa Naibu Balozi wa Tanzania nchini humo, Msafiri Marwa na yataongozwa na kiongozi...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/79FAz6LP6HiEYkhZdGKP1RM8lp7CI4yLA5*uGrV2VhvvKZJ1j7NDL6E0vLkyZSgo-fFidWQs7eOclJb5gf1xbjcbF3WHmNA7/WEMASEPETA_GLOBALNEWSROOM18.jpg?width=650)
WEMA ANAHITAJI KUOMBEWA
10 years ago
Habarileo21 Aug
Harambee kuombewa kibali Ikulu
MAPENDEKEZO ya Sheria mpya ya Kudhibiti Mgongano wa Maslahi, miongoni mwa viongozi wa umma, yanatarajiwa kudhibiti viongozi wa umma kushiriki au kuendesha harambee na kutoa zawadi kubwa kubwa.
11 years ago
Tanzania Daima31 Jan
Mukandala ataka nchi za Afrika kuwa wamoja
MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Rweikaza Mukandala, amesema bila kujenga umoja wa kweli katika nchi za Afrika machafuko na migogoro ya kisiasa itaendelea kila kukicha. Mukandala...
10 years ago
Habarileo30 Sep
Askofu ataka waumini kuombea nchi amani
ASKOFU wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Nyanda za Juu Kusini, John Mwela amewataka waumini kukazana katika maombi kuiombea nchi isiingie katika machafuko, hasa katika kipindi hiki cha mchakato wa Katiba mpya na kuelekea katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka kesho.
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-DTrQxVKO6RA/VmLIsv9MHfI/AAAAAAAIKVo/nDNi5BZmAd0/s72-c/3B.jpg)
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano mkuu wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China
![](http://2.bp.blogspot.com/-DTrQxVKO6RA/VmLIsv9MHfI/AAAAAAAIKVo/nDNi5BZmAd0/s640/3B.jpg)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan, na Rais Mstaafu wa awamu ya Tano, Dkt. Jakaya Kikwete, wakiangalia moja ya Ndege ya Kivita ya mfano, wakati walipotembelea Mabanda ya maonesho ya Mkutano Mkuu wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China, uliofanyika Jijini Johannesburg Afrika ya Kusini jana. Dkt. Jakaya Kikwete alihudhuria mkutano huo kama Rais Mstaafu mwalikwa. Mkutano huo unamalizika leo Dec 5, 2015.
![](http://4.bp.blogspot.com/-a5ilQqvsi_0/VmLInoeypfI/AAAAAAAIKVI/agFaw1YkwYw/s640/03.jpg)