Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Samia ataka Zanzibar iombewe kupata mwafaka

MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan amewaomba viongozi wa dini kuiombea Zanzibar ili dosari zilizojitokeza wakati wa Uchaguzi Mkuu zipatiwe mwafaka wa kiungwana.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Samia ataka nchi kuzidi kuombewa

MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania ina utajiri mkubwa unaoangaliwa na watu wa mataifa mbalimbali hivyo kuwaomba viongozi wa dini kuwaombea ili wapate viongozi watakaouangalia utajiri wa Tanzania kwa ajili ya Watanzania wenyewe.

 

10 years ago

Mwananchi

Magufuli ataka kampeni za kisayansi kupata ushindi wa tsunami

Waziri wa Ujenzi na mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli amesema kuwa wana-CCM mwaka huu wanapaswa kufanya kampeni za kisayansi zaidi kuhakikisha wanapata ushindi wa tsunami utakaowezesha kuundwa kwa Serikali imara itakayowaletea maendeleo Watanzania wote.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU ATOA SAA 30, ATAKA KUPATA MAJIBU KUHUSU KIWANDA CHA NYAMA MBEYA

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda ametoa saa 30 na kutaka kupatiwa majibu ni kwa nini maelekezo aliyotoa kuhusu kiwanda cha kusindika nyama cha Mbeya hayajafanyiwa kazi.
Ametoa kauli hiyo leo mchana (Ijumaa, Agosti Mosi, 2014) wakati akizindua Kongamano la siku tatu la Uwekezaji la Mikoa ya Iringa, Njombe na Mbeya la mwaka 2014 ambalo limeanza leo kwenye ukumbi wa Benjamini Mkapa jijini Mbeya.
“Mbeya inaweza kuwa na fursa kubwa ya viwanda vya usindikaji nyama, unga wa mahindi ili kuongeza thamani ya...

 

9 years ago

CCM Blog

MAMA SAMIA, DK. SHEIN WAFUNGA KAZI KAMPENI ZA CCM ZANZIBAR LEO

Maelfu ya wananchi wakiwa wamefurika kwenye Viwanja vya Kibandamaiti, wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za CCM, uliofanyika leo kwenye Viwanja hivyo mjini Zanzibar.
 Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM, Dk. Ali Mohammed Shein akisalimiana na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu hassan baada ya kuwasili kwenye mkutano wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Kibandamaiti mjini Zanzibar.
 Mgombea wa Urais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein...

 

10 years ago

Vijimambo

MH SAMIA SULUHU AZINDUA MAONESHO YA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR

bl4 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano, Mh. Samia Saluhu (katikati), akizindua maonesho ya Maadhimisho ya Miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa na Nyumba ya Utamaduni, jijini Dar es Salaam leo. (Picha na OMR)bl5Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano, Mh. Samia Suluhu, akihutubia katika Uzinduzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya Miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar katika ukukmbi wa Makumbusho ya Taifa na Nyumba ya Utamaduni,...

 

9 years ago

Habarileo

Azam yakiri kupata upinzani Zanzibar

NAHODHA wa timu ya Azam FC, Himid Mau amekiri kupata upinzani mkali katika mechi yao ya kirafiki na ya kumalizia ratiba ya mazoezi visiwani Zanzibar na JKU iliyochezwa juzi Amaan mjini hapa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Karafuu ya Zanzibar yazidi kupata umaarufu

MSHAURI wa Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar, Sadruddin Govinji, amesema karafuu ya Zanzibar imeendelea kupata umaarufu katika soko la Dunia kutokana na sifa zake za kipekee zenye ubora. Akiwasilisha...

 

9 years ago

Vijimambo

MAMA SAMIA ATUA ZANZIBAR LEO, KUUNGURUMA KIBANDAMAITI NA DK. SHEIN JIONI HII

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akishuka kwenye ndege baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege Mjini Zanzibar leo, kwa ajili ya mkutano wa kampeni utakaofanyika jioni hii kwenye Viwanja vya Demokrasia au Kibanda maiti. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMOMgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akilakiwa na Mume wake, Hafidh Ameir, baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege mjini Zanzibar leo. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Zanzibar, Vuai...

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AHUDHURIA SHREHE ZA MAULID ZANZIBAR

 Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Katibu Msaidizi Mkoa wa Magharibi Kichama Zanzibar Suleiman Mzee (CHARAS) alipowasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Karume Zanzibar leo Disemba 24,2015 kwa ajili ya kuhudhuria  Maulid ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W). Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Makamu wa Rais Mstaafu Mhe. Dkt. Mohammed...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani